Asante kwa kushirik EPL Aston Villa, Newcastle na Norwich

Shukran ndugu yangu umenikumbusha mbali mpaka ile kashfa ya faustine fashanu imeniijia.
 

Sunderland huwa wanakosa meneja ambae anafahamu "man management".

Hii sifa ni ya kwanza kabisa kwa meneja na kama una meneja Sam Allardyce au Big Sam basi unakuwa huna wasiwasi.

Pili, Sunderland hawakuwa na mori ya uchezaji chini ya Gus Poyet hivyo alipoondoka na walipomsajili mtu kama Jermaine Defoe na alipokuja Sam Allardyce basi wakawa wanacheza kama timu.

Sunderland watakuwa timu tishio sana msimu ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…