Asante Kwasi ana magoli mengi kuliko jumla ya magoli ya Tambwe, Ngoma na Ronaldo!!

Yudatade Edesi Shayo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
2,903
Reaction score
4,334
Taarifa rasmi zilizonifikia atiii beki kisiki, professional player, forward matata kumradhi ana magoli mengi kuliko forward line yote yanga na ni beki wa pili duniani mwenye magoli mengi msimu huu!!

This is Simba bhana, mtani shida kupokezana ila shida zako mmmmh[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Washabiki uchwara wa simba wanaonekana siku ya simba kushinda goli nyingi tu.
Siku ingine wanabaki wenyewe kina sembo.
 
Kwanza inabidi ujiulize:

Kwasi kacheza mechi ngapi?

Tambwe kacheza mechi ngapi

Ngoma kacheza mechi ngapi?

Kisha ndo uwafanishe idadi ya mağoli
 
Hata kama ila sio vizuri striker kupitwa idadi ya magoli na beki ni AIBU KUBWA
 
Twende kwa data mkuu.Kama huna data unatudhalilisha Wana-Msimbazi.
 
Kwasi anafikiriwa kubadilishiwa namba uwanjani, kocha anataka kumjaribu kumchezesha nafasi ya ushambuliaji.
Kwasi mwenyewe amesema yuko tayari kucheza kama mshambuliaji.
Je ataimudu nafasi hiyo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…