Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Mshaurini aje Liverpool tumrudishe kwenye chart.Mimi ni shabiki mkubwa wa barca na messi .. Barcelona imeshuka Sana kiuwezo kiasi kwamba Inamshushia hadhi messi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akaribie utopoloKaribu yanga messi
Guardiola anaamini Messi atamsaidia kuleta UEFA hapo Etihad?...Messi anaenda City,Ivan Ractic anaenda Spurs kwani Mourihno ana mkubali sana.
Guardiola ndiye baba mlezi wa Messi nina uhakika yy mwenyewe anajua Messi atamtumia vipi.Messi bado ana misimu kama 2 au 3 ya kucheza soka la ushindani.Guardiola anaamini Messi atamsaidia kuleta UEFA hapo Etihad?...
Guardiola bila Messi hawezi kuchukua UEFA ndio maana hata alipokuwepo Bayern alishindwa japo alikuwa na kikosi kizuri.Guardiola ndiye baba mlezi wa Messi nina uhakika yy mwenyewe anajua Messi atamtumia vipi.Messi bado ana misimu kama 2 au 3 ya kucheza soka la ushindani.
Ata alivyokuwa Bayern alijaribu kumshawishi Messi ajiunge nae lkn ikashindikana.Guardiola bila Messi hawezi kuchukua UEFA ndio maana hata alipokuwepo Bayern alishindwa japo alikuwa na kikosi kizuri.
Guardiola ndiye baba mlezi wa Messi nina uhakika yy mwenyewe anajua Messi atamtumia vipi.Messi bado ana misimu kama 2 au 3 ya kucheza soka la ushindani.
Timu isha elemewa unai motivate vipi,kosa la Barca hawanaga plan B ya kuapply defense ili kupunguza magoli siku zile wali helemewa.Fundi wa mpira asiye jua ku motivate wenzake timu inapo lemewaView attachment 1548635
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Muda utaongea ila ila mimi naamini Messi bado mzuri na kwa EPL ana uwezo wa kufunga goli zaidi ya 25 kwa msimu.Siyo EPL mkuu.
EPL hakuna magoli ya hisani, EPL mchezaji kumaliza ligi akiwa na goli 32 ni bonge la record, wakati Spain, Italy, Germany ni kawaida kuvusha 30.
Naamini kama anataka retirement ya akili, aende PSG. Baada ya miaka 2 aende US.
EPL patamzeesha mapema tu.
Muda utaongea ila ila mimi naamini Messi bado mzuri na kwa EPL ana uwezo wa kufunga goli zaidi ya 25 kwa msimu.
Kula like mkuu,[emoji1][emoji1]Karibu yanga messi
OK ila MUDA UTAONGEA,ila naamini atavuka zaid ya goli 25.Pitia statistics za EPL vizuri, toka iwe mfumo wa timu 20, 32 goals in a season ndo the highest, na imetokea mara 1 tu.
Sasa kwa umri wa Messi, 25 hawezi kufunga, hata 20 ni mlima kwake.
Nasema hivi kwa sababu kwa age yake, likelihood ya kukutana na majeruhi ni kubwa kwa sababu ligi iko so competitive, na majeruhi ya umri wake yanakuwa yanachelewa kupona.
Hawezi kucheza mechi 30 za EPL, acheze UEFA na probably FA.
OK ila MUDA UTAONGEA,ila naamini atavuka zaid ya goli 25.