robbinhood
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 526
- 1,524
kabisa [emoji28][emoji28][emoji28]Hata samatta hi match angepiga hatrick[emoji28]
Haipunguzi ukweli kuwa wote wamegongwa 5 bila. Liverpool ni litimu lililochoka kwa sasa, saa yoyote tegemea chochote, huyu UTD ana shida gani eti?aseee Moyo wangu umetuliaaa baada ya kipigo cha mbwaa koko alichokutana nacho Liverpool wakiwa 11 uwanjani
Asante Liverpool .. sasa maumiv angu yametulia[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
#man_uTd forever
#love u Manchester United
samata hana kituHata samatta hi match angepiga hatrickš
Unaijua liver ww au unapayuka tuHaipunguzi ukweli kuwa wote wamegongwa 5 bila. Liverpool ni litimu lililochoka kwa sasa, saa yoyote tegemea chochote, huyu UTD ana shida gani eti?
Shida mle Manure hamna kocha kuna msimamizi wa mazoezi.Haipunguzi ukweli kuwa wote wamegongwa 5 bila. Liverpool ni litimu lililochoka kwa sasa, saa yoyote tegemea chochote, huyu UTD ana shida gani eti?
Unaijua wewe Jurgen KloppUnaijua liver ww au unapayuka tu
[emoji28][emoji28]sawa lakin angalau maneno ya wadau wa Liverpool hayapo mitaan[emoji28][emoji28]Hahah, ila bado haiondoi maana kuwa na ww umechezei kipigo takatifu
Hahaa jana wametia aibu[emoji28][emoji28][emoji28]Yaani Liverpool wamekuwa utopolo hivi !!!!
nyie jamaa huwa ni stress tu[emoji28][emoji28]Arsenal tuna comment wapi wadau? au ndo hayatuhusu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hhahh subili matanga yaishe!!Arsenal tuna comment wapi wadau? au ndo hayatuhusu?
aseee Moyo wangu umetuliaaa baada ya kipigo cha mbwaa koko alichokutana nacho Liverpool wakiwa 11 uwanjani
Asante Liverpool .. sasa maumiv angu yametulia[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
#man_uTd forever
#love u Manchester United
Pole sana mkuu, mchukulie poa huyo kijana.Kufungwa kwa Liver kuna maliza matatizo yaliyopo kwenye team yako? Unjua njia unayotumia kujifariji inashangaza sana kama kweli wewe ni shabiki wa Manu.