T Tika Member Joined Apr 16, 2012 Posts 38 Reaction score 23 Jan 30, 2019 #21 Don Clericuzio said: Anachofanya ni sahihi sana, ni kitu viongozi wa hizi timu wamekuwa wakishauriwa kukifanya muda mrefu. Shida kubwa hizi timu zetu ni kugombea maslahi. Click to expand... Kuna vizee vya timu ambavyo kazi yao ni kula kilichopo siyo kutafuta kwa faida ya timu.
Don Clericuzio said: Anachofanya ni sahihi sana, ni kitu viongozi wa hizi timu wamekuwa wakishauriwa kukifanya muda mrefu. Shida kubwa hizi timu zetu ni kugombea maslahi. Click to expand... Kuna vizee vya timu ambavyo kazi yao ni kula kilichopo siyo kutafuta kwa faida ya timu.
Bufa JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 12,599 Reaction score 26,263 Jan 30, 2019 #22 Hii sio idea mpya, Jerry Muro aliwahi kuhamasisha kitu kama hiki Tena yeye alisema buku tu ila alifeli.
Hii sio idea mpya, Jerry Muro aliwahi kuhamasisha kitu kama hiki Tena yeye alisema buku tu ila alifeli.
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,556 Jan 30, 2019 #23 Tika said: Kuna vizee vya timu ambavyo kazi yao ni kula kilichopo siyo kutafuta kwa faida ya timu. Click to expand... Ndiyo wanaotuharibia timu zetu hao.
Tika said: Kuna vizee vya timu ambavyo kazi yao ni kula kilichopo siyo kutafuta kwa faida ya timu. Click to expand... Ndiyo wanaotuharibia timu zetu hao.
leodigardcyrilo JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 3,340 Reaction score 1,748 Jan 30, 2019 #24 Tutachangia Sent using Jamii Forums mobile app