Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Ili iweje!?
umetumia akili au masaburi?
[h=6]Mama Salma Kikwete shared a link.[/h]Nyaraka: Mkutano wa CHADEMA na Rais Kikwete - Ikulu ya Dar es Salaam
www.jamiiforums.com
wakuu nimepita wenye page ya facebook ya mama Salma naona ameshare link ya JF ..namshukuru kwa niaba, na ninamuomba amwambie mzee naye awe anapita pita huku na ikiwezekana ajiunge tujumuike atapata mawazo mengi tu
ulichotumia wewe. Kama wewe umetumia Masaburi poa.
kudos mtakatifu ivuga..
wewe ni mmakonde? wakwere wameoa kwenu? mbona imekuuma? mimi nimemuomba mama afikishe ujumbe tu kwa mkuu wewe kinakuuma nini?
any way, mpigie simu. Sio kuja kuchafua hali ya hewa na post zisizokuwa na kichwa wala miguu.