F fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 2,977 Reaction score 3,798 Mar 9, 2025 #1 Nina furaha kubwa wiki hii,nimefanikisha mwanamke na mwanaume mmoja,kukutana na kukubaliana kuoana.Moyo wangu umejaa furaha baada ya wote kunipigia simu na kuniambia baba asante sana,harusi yao itakuwa mwezi wa 6.Mungu wangu asante sana
Nina furaha kubwa wiki hii,nimefanikisha mwanamke na mwanaume mmoja,kukutana na kukubaliana kuoana.Moyo wangu umejaa furaha baada ya wote kunipigia simu na kuniambia baba asante sana,harusi yao itakuwa mwezi wa 6.Mungu wangu asante sana
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 19,955 Reaction score 45,207 Mar 9, 2025 #2 Hongera saana mkuu. Imeandikwa heri wapatanishi maana hao wataitwa Wana wa Mungu
F fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 2,977 Reaction score 3,798 Mar 9, 2025 Thread starter #3 sumbai said: Hongera saana mkuu. Imeandikwa heri wapatanishi maana hao wataitwa Wana wa Mungu Click to expand... Ni kweli,sasa nakamata project nyingine nayo niifanyie kazi
sumbai said: Hongera saana mkuu. Imeandikwa heri wapatanishi maana hao wataitwa Wana wa Mungu Click to expand... Ni kweli,sasa nakamata project nyingine nayo niifanyie kazi