Asante newcastle kwa kunipa ushindi..

G_real

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2019
Posts
684
Reaction score
855
wakuu kwa mara ya kwanza leo toka nianze kubet ndo leo napata ushindi kwa kuwaua man u ingawa ni timu yangu ninayo ipenda kutoka kundumbula na wasipo mfukuza kocha lazima tushuke daraja,nimemuua.MAN U,MAN CITY,asrsenal win dr,chelsea win dir.roma1x na nimeshinda.M1 laki6 na 52 na kbla ya kuwin muhindi alikua ameshanila elfu80.
 
Sasa Bata wapi mkuu.
 
bila picha ya slip huu uzi ni uzshi
 

Ulijilipua mzee Kumuua City home, inataka moyo.
 
Bila picha ya mkeka hiyo ni story tu
 
hakukuwa na haja ya kuandika maneno mengi, unge-post mkeka ungemaliza kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…