Sasa nani atakuwa Rais? Maalimu Seif wa ACT?Mimi simkubali Magufuli kwa mambo mengi sana, lakini kwa hili la umeme kapatia. Lakini hawezi kupata kura yangu maana hafai kuwa rais, kwani ana mapungufu mengi.
Kabla Magufuli Kuingia kwani haukuwa wajibu wao? Magufuli anawasimamia vizuri ndio maana wanawajibika sababu hacheki nao kwenye kazi Ni hapa kazi tuTanesco wako fasta,hilo halina mjadala
ila usiwajaze sifa sana
ni kazi na ndio wajibu wao
Sasa nani atakuwa Rais? Maalimu Seif wa ACT?
Mtanzania yoyote mwenye akili timamu.
Labda utuongoze wewe. Maana mambo sio rahisi kama tunavyoongea
Sawa haina shida kaondoa mafisadi ya umeme na haja replace mifisadi mingine ya umeme.!!!Sio kwamba anapambana na mafisadi bali anawaondoa mafisadi waliokuwepo mwanzo maana hana mgao hivyo ana create mafisadi wake ambao wanamuweka kwenye payroll so stuka kwahiyo atafanya mambo tofauti ili uone amefanya jambo kubwa kuondoa ufisadi lakini behind anatengeneza mafisadi wapya ambao ni chain yake!! Usiseme sijakwambia maana akili hizi tumefunuliwa wachache sana wenye maono ambayo wengine hawayaoni.
Lowasa alikuwa na mtandao wa kuhujumu kikwete viongozi wengi serikalini aliwaweka yeye akiwa Waziri mkuu walipogeukana na Kikwete akamtoa uwaziri mkuu akamuweka Mizengo pinda akaanza hujuma kikwete aonekane dhaifu utendaji baadaye akajiunga chadema kisirisiri akijua hawaivi na Kikwete Hivyo akipigwa chini aende chadema!!! Alivyoenda chadema mtandao wote alioiweka serikalini na mashirika ya umma wakawa naye wakiwemo wa Tanesco kuhakikisha kila mtu kwenye nafasi yake anahujumu ili Serikali ya,CCM ionekane boya!! Tanesco Ni moja ya mashirika yaliyofanikisha chadema kupata wabunge!! Kwa kuzalisha kero nyingi za umeme kwa wapiga kura zilizofanya watu wachukie CCM Hadi Basi.Hicho ndicho kilifanya Hadi akina God bless lema wakashinda Arusha!!!Matusi ya rejareja haya..
Yani chama cha upinzani kitumie shirika la umma kuhujumu utendaji wa serikali iliyopo madarakani!? Na serikali ipo tu inaona hayo yote!?
Hahahah siasa za Bongo bhana.....