Asante Rais Magufuli kupambana na mafisadi TANESCO, sasa umeme sio kero tena na haukatiki muda mrefu

Kwa kuwa siasa ndio maisha yako sawa..

Narudia haya ni matusi ya rejareja tena ya wazi kabisa.

Ila umefungua mlango mwingine, inafikirisha na kuleta maswali lukuki.. kama hayo yamewezekana bhas dah... masikini nchi yangu.
 
Umeme ulitumika kisiasa sana Hadi millennium challenge ya Billy Gates ilijitoa kufadhili miradi ya umeme Zanzibar kisa eti demokrasia Wala uchaguzi huru hatuna ndio maana Shein kashinda badala ya Seif sharrif Hamad mmmmm!!!!

Asante Magufuli ku deal na issue ya umene Tanzania bara na Zanzibar silaha iliyotumiwa na wasioitakia Tanzania mema na wapinzani
 
Heri mtu yule anayeona na kusadiki
Nimekuelewa sana kaka
 
......................
Asante.
 
Serikali yako unayosema imeondoa ufisadi imeongeza tena tozo ya kununua umeme kutoka 1% hadi 2% yaani mara mbili ya bei ya mwanzo,zamani ukinunua umeme wa buku unakata Tsh 10 ila leo unakatwa Tsh 20,huo ndio upigaji tunaousema,mkuu nasisitiza akili hii ya maono tumepewa watu wachache sana! Mtu mwenye akili/uelewa ya/wa kawaida hawezi kujua kiundani.
 
Sawa inakusaidia nini kununua umeme kwa bei ndogo usiopatikana? Hadi unatukana serikali kwa kutokupa umeme wa uhakika? Hata ulipe shilingi hamsini kwa mwezi uneme uko wapi? Issue sio unalipa shilingi ngapi
 
Yehodaya uko sahihi kusifu nakuabudi hao mafisadi wako wapi maana kika siku nasikia mafisadi siwaoni wakiwa mahakamani au gerezani inabaki hadithi tu
 
Muda wa campaign bado
 
Kwa hiyo kwa kifupi mabaya ni mengi kuliko mazuri
 
Mimi simkubali Magufuli kwa mambo mengi sana, lakini kwa hili la umeme kapatia. Lakini hawezi kupata kura yangu maana hafai kuwa rais, kwani ana mapungufu mengi.
Kwani umelazimishwa? Umpigie usimpigie haina athari yeyote!!!
 
Mimi simkubali Magufuli kwa mambo mengi sana, lakini kwa hili la umeme kapatia. Lakini hawezi kupata kura yangu maana hafai kuwa rais, kwani ana mapungufu mengi.
Unakuja mdogomdoogo mpaka utafika nyumbani.home sio mbali.kwa sasa upo maeneo ya fire bado hatua chache ufike mtaa wa Rumumba.
 
Yehodaya uko sahihi kusifu nakuabudi hao mafisadi wako wapi maana kika siku nasikia mafisadi siwaoni wakiwa mahakamani au gerezani inabaki hadithi tu
Mwizi proffesional haachi alama ila ukimshugulikia bila kumpeleka mahakamani kimya kimya utasikia anavyopiga yowe kuwa ohh vyuma vimebana hotel yangu inakufa sababu seminar za serikali hawaji hotel yangu ohhh anaua sekta binafsi hakodi mitambo yangu ya kuzalisha umeme,ohh hatumii ndege yangu binafsi ohhh viongozi wa serikali na serikali hawapangi kwenye majengo yangu kwa ofisi au makazi niliyojenga yako matupu apartment na ofisi zangu nimejenga nk hiyo Ni zaidi ya jela !!!!

Magufuli Ni mwanasayansi anajua anajua hata akikufunga ukitoka uta enjoy Mali zako anakata tenda za serikali Mali zako za kifisadi zikudodee!!! Hiyo Ni zaidi ya jela
 
Mimi simkubali Magufuli kwa mambo mengi sana, lakini kwa hili la umeme kapatia. Lakini hawezi kupata kura yangu maana hafai kuwa rais, kwani ana mapungufu mengi.
Kwani wewe huna mapungufu?
 
Unakuja mdogomdoogo mpaka utafika nyumbani.home sio mbali.kwa sasa upo maeneo ya fire bado hatua chache ufike mtaa wa Rumumba.

Sijawahi kuvutiwa na vyama vyenye siasa za kijamaa. Mimi sio muumini wa siasa za kikondoo na kinafiki. Na wala sintokaa nivutiwe na chama chochote cha kijamaa kutokana na siasa zao za shuruti bila hoja.
 
Wewe kama haujui kitu kaa kimyia, zamani tulikuwa tunalipishwa service charge umetumia au haujatumia mwisho wa mwezi lazima kulipa, imeondoka wakati wa Magufuli, wewe unaongea eti wamepandisha kiasi kutoka sh 10 hadi 20 kweli wanadamu hawana shukurani mateso mengi sana tuliyoyapata kutoka 2000 hata 2015 kuhusu umeme sio ya kusimulia. Mungu ambariki Rais Magufuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…