Asante Rais Magufuli: Polepole tunaanza kuelewa maana ya Lockdown

Asante Rais Magufuli: Polepole tunaanza kuelewa maana ya Lockdown

mimitungi

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Posts
738
Reaction score
261
Hii vita ya Covid19 ukiikurupukia bila kujua tunapelekwa wapi unaweza usimwelewe Rais wetu. Je? Wajua nini kilikuwa kinaendelea kwa nchi zilizo chini ya lockdown? Tafadhali pitia hizi video kwa umakini
1;
2:
3:
 
Mwenye macho haambiwi tazama, dunia yetu inaelekea huku.
 
Wewe nawe sisi tusha maliza korona na leo inapigwa bonge LA pini kuizika mazima

No more mask on 😷
 
Back
Top Bottom