Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Baada ya sintofahamu ya kutimua makandarasi Zanzibar, leo Rais Mwinyi katoa tamko la kuwapoza makandarasi.
Akiweka jiwe la msingi hospitali iliyojengwa na mkandarasi mzawa, amesema ataendelea kuwapa zabuni makandarasi wazawa miradi ya serikali.
Hilo tunalipokea kwa moyo wa furaha, maana ndio ajira zetu.
Ila tutamwomba Rais wasimamizi toka serikalini na wasimamizi kwenye mradi watimize wajibu wao maana kila baya wanarushiwa makandarasi ambao wakati mwingi huwa hawapewi nafasi kueleza tatizo la mradi.
Kudos Rais Mwinyi.