Asante Rais Samia kwa miradi hii ya kimkakati Wilaya ya Kahama

Cosenegy

Member
Joined
Dec 11, 2022
Posts
77
Reaction score
80
Serikali ya Rais Samia imedhamiria kuifanya Kahama kuwa kitovu cha biashara ukanda wa maziwa makuu, hii inadhihirishwa na miradi mikubwa ya kimkakati alioamua kuiwekeza Kahama.

Nikel refinary, hii itajengwa eneo la Buzwagi itasaidia kuchenjua makinikia ya migodi mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi, maana itakuwa ni multipurpose huku target kubwa ni nikel ya Kabanga. Refinary hii itasaidia kukuza uchumi wa Kahama na taifa kwa ujumla,

Bandari kavu ya Isaka, hii inatuunganisha na Rwanda, Burundi, Uganda, Congo na Sudan Kusini, hivyo itasaidia usafirishaji wa mizgo kutoka bandari yetu ya DSM kwenda nchi hizo za maziwa makuu, sote tumeshuhudia ujumbe kutoka kwa Rais Ragame wa Rwanda akiomba uharakishwaji wa bandari hii kutokana na umuhimu wake kwa hizi nchi jirani.

Tactic projet,
miradi hii itachangia pakubwa kubadili sura na mandhari ya mji wa Kahama na kuufanya kuwa na muonekano wa kisasa zaidi hivyo kuvutia uwekezaji maana zitajengwa barabara za mitaa, stend mbili za kisasa pamoja na soko.

Barabara ya Kahama to Geita,
hii ni muhimu sana kiuchumi kwani inapita kwenye migodi mikubwa ya Bulyankulu na GGM, hivyo itasaidia usafirishaji wa makinikia kutoka migodini hadi kwenye Refinary Kahama na bandarini DSM.

Kwa kufanikisha dhamira hii nzuri tunaomba pia Serikali ianze ujenzi wa barabara ya Kahama, Mwanza kupitia Mwanangwa. Kahama - Tabora kupitia Bukene maana kuna mradi wa kiwanda cha bonba la mafuta eneo la Igusule Nzega hivyo itarahisisha usafirishaji wa mabomba ya mradi wa ECOP.
 
Serikali ya Rais Samia imedhamiria kuifanya Kahama kuwa kitovu cha biashara ukanda wa maziwa makuu, hii inadhihirishwa na miradi mikubwa ya kimkakati alioamua kuiwekeza Kahama.

Nikel refinary, hii itajengwa eneo la Buzwagi itasaidia kuchenjua makinikia ya migodi mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi, maana itakuwa ni multipurpose huku target kubwa ni nikel ya Kabanga. Refinary hii itasaidia kukuza uchumi wa Kahama na taifa kwa ujumla,

Bandari kavu ya Isaka, hii inatuunganisha na Rwanda, Burundi, Uganda, Congo na Sudan Kusini, hivyo itasaidia usafirishaji wa mizgo kutoka bandari yetu ya DSM kwenda nchi hizo za maziwa makuu, sote tumeshuhudia ujumbe kutoka kwa Rais Ragame wa Rwanda akiomba uharakishwaji wa bandari hii kutokana na umuhimu wake kwa hizi nchi jirani.

Tactic projet, miradi hii itachangia pakubwa kubadili sura na mandhari ya mji wa Kahama na kuufanya kuwa na muonekano wa kisasa zaidi hivyo kuvutia uwekezaji maana zitajengwa barabara za mitaa, stend mbili za kisasa pamoja na soko.

Barabara ya Kahama to Geita, hii ni muhimu sana kiuchumi kwani inapita kwenye migodi mikubwa ya Bulyankulu na GGM, hivyo itasaidia usafirishaji wa makinikia kutoka migodini hadi kwenye Refinary Kahama na bandarini DSM.

Kwa kufanikisha dhamira hii nzuri tunaomba pia Serikali ianze ujenzi wa barabara ya Kahama, Mwanza kupitia Mwanangwa. Kahama - Tabora kupitia Bukene maana kuna mradi wa kiwanda cha bonba la mafuta eneo la Igusule Nzega hivyo itarahisisha usafirishaji wa mabomba ya mradi wa ECOP.
Siyo Samia ni JPM architectural signature and fund.
 
Back
Top Bottom