Asante sana Ahawa secondary Kibondo Kigoma kwa matokeo haya ya juu mno mtihani wa Taifa

Hongera sana watoto wanafaulu sana, inaonesha mitihani ya sasa si migumu tena kufaulu ni kama kumsukuma mlevi , kuna shule nimeona eti zaidi ya watahiniwa 60 wana A saba out of 100 candidates, ndo maana hawa hamna kitu wakifika chuo na kazini. Zamani A saba hazizidi kumi shule ya watahiniwa 200!

Kuna haja ya kupitia upya mitihani ya taifa kuna mahali panavuja si kwa A hizo!
 
Hongera sana watoto wanafaulu sana, inaonesha mitihani ya sasa si migumu tena kufaulu ni kama kumsukuma mlevi , kuna shule nimeona eti zaidi ya watahiniwa 60 wana A saba out of 100 candidates, ndo maana hawa hamna kitu wakifika chuo na kazini. Zamani A saba hazizidi kumi shule ya watahiniwa 200!

Kuna haja ya kupitia upya mitihani ya taifa kuna mahali kunavuja si kwa A hizo!
Mawazo ya kishamba haya
Lengo la mwalimu yeyote ni kuwafundisha wanafunzi waelewe wanachosoma na wafaulu sio wafeli

Vizee vikoloni vya zamani kama wewe vilikuwa na imani kuwa ukifundisha wakifaulu wachache na wengi wakafeli basi hapo wewe ndie mwalimu bora na elimu ndio bora

Kwa hiyo kipimo cha enzi zenu za ujinga mwalimu akifelisha wengi huyo ndie bora

Ingekuwa sasa vialimu vya aina yako vingefukuzwa kazi vyote kuwa havina uwezo wa kufundisha ushahidi ukiwa ni matokeo mabaya ambayo unakuta darasa zima alilofundisha division one unamlika na torch

Sasa hivi mwalimu anapimwa kwa matokeo sio kwa miyowe anayobweka darasani anapofundisha
 
Miaka ya 2000's kuna wakati wanafunzi walifeli vibayaa, basi kelele zikapigwa sana bungeni (siasa) na hatimaye miaka iliyofuata baraza la mitihani likapanua 'magoli' ili kila mwanafunzi aweze kufaulu!!.
Ufaulu wa wanafunzi wa sasa hauakisi uwezo wao kichwani.
 
Private hiyo
Basi hakuna cha kushangaza hapo, nenda huko mabamba mpakani na Burundi Kuna shule ya wakatoliki nayo inafanya vyema

Screenshot_20250124-073156_Maps.jpg
 
Mawazo ya kishamba haya
Lengo la mwalimu yeyote ni kuwafundisha wanafunzi waelewe wanachosoma na wafaulu sio wafeli

Vizee vikoloni vya zamani kama wewe vilikuwa na imani kuwa ukifundisha wakifaulu wachache na wengi wakafeli basi hapo wewe ndie mwalimu bora na elimu ndio bora

Kwa hiyo kipimo cha enzi zenu za ujinga mwalimu akifelisha wengi huyo ndie bora

Ingekuwa sasa vialimu vya aina yako vingefukuzwa kazi vyote kuwa havina uwezo wa kufundisha ushahidi ukiwa ni matokeo mabaya ambayo unakuta darasa zima alilofundisha division one unamlika na torch

Sasa hivi mwalimu anapimwa kwa matokeo sio kwa miyowe anayobweka darasani anapofundisha
Wenye akili wewe si mmojawapo, povu jingi bila hoja!! I doubt kama hata una form four failure!! I guess wewe ni kitoto cha 2000 zero brain ni tiktok tu imejaa kichwani, nyie ni janga la taifa,
 
Baadhi ya Vizee vialimu vya zamani utasikia ooh zamani elimu ilikuwa juu sana darasa mnafanya mtihani shule nzima division one wawili tu kati ya 40 wengine four na three huko kinaona kama sifa wanafunzi wengi kufeli kilivyo kijinga

Kipimo cha ualimu ni uwezo wa mwalimu kufundisha wanafunzi wakaelewa na kufaulu sana mitihani hata darasa zima wakipata division one na A masomo yote haina shida ni pongezi ziende kwa walimu waliojua wajibu wao tofauti na hivyo baadhi ya vialimu vizee vya zamani

Pongezi kwa walimu wa shule ambazo zimetoa watoto wote division one inaonyesha jinsi walimu wa masomo yote wanavyotuma kila mwalimu kuhakikisha anafundisha somo lake vizuri wanafunzi wanaelewa na mitihani wanafaulu vizuri mno kwenye somo lake

Na hongera kwa wenye shule ns uongozi wa hizo shule
 
Back
Top Bottom