Tanzania hatuna ukabilaSasa wenye matokeo hayo ni waha wa Kigoma?
Mawazo ya kishamba hayaHongera sana watoto wanafaulu sana, inaonesha mitihani ya sasa si migumu tena kufaulu ni kama kumsukuma mlevi , kuna shule nimeona eti zaidi ya watahiniwa 60 wana A saba out of 100 candidates, ndo maana hawa hamna kitu wakifika chuo na kazini. Zamani A saba hazizidi kumi shule ya watahiniwa 200!
Kuna haja ya kupitia upya mitihani ya taifa kuna mahali kunavuja si kwa A hizo!
Private hiyoNi shule ya wananchi (serikali)?
Mara nyingi Kigoma inachukuliwa kuwa nyuma mambo mengi
Asante sana Ahawa secondary Kibondo Kigoma kwa matokeo haya ya juu mno mtihani wa Taifa form four wote 84 division one tena mchepuo wa sayansi
Matokeo haya yameupaisha mkoa wa Kigoma
Basi hakuna cha kushangaza hapo, nenda huko mabamba mpakani na Burundi Kuna shule ya wakatoliki nayo inafanya vyemaPrivate hiyo
Wenye akili wewe si mmojawapo, povu jingi bila hoja!! I doubt kama hata una form four failure!! I guess wewe ni kitoto cha 2000 zero brain ni tiktok tu imejaa kichwani, nyie ni janga la taifa,Mawazo ya kishamba haya
Lengo la mwalimu yeyote ni kuwafundisha wanafunzi waelewe wanachosoma na wafaulu sio wafeli
Vizee vikoloni vya zamani kama wewe vilikuwa na imani kuwa ukifundisha wakifaulu wachache na wengi wakafeli basi hapo wewe ndie mwalimu bora na elimu ndio bora
Kwa hiyo kipimo cha enzi zenu za ujinga mwalimu akifelisha wengi huyo ndie bora
Ingekuwa sasa vialimu vya aina yako vingefukuzwa kazi vyote kuwa havina uwezo wa kufundisha ushahidi ukiwa ni matokeo mabaya ambayo unakuta darasa zima alilofundisha division one unamlika na torch
Sasa hivi mwalimu anapimwa kwa matokeo sio kwa miyowe anayobweka darasani anapofundisha
Baadhi ya Vizee vialimu vya zamani utasikia ooh zamani elimu ilikuwa juu sana darasa mnafanya mtihani shule nzima division one wawili tu kati ya 40 wengine four na three huko kinaona kama sifa wanafunzi wengi kufeli kilivyo kijingaWenye akili wewe si mmojawapo, povu jingi bila hoja!! I doubt kama hata una form four failure!! I guess wewe ni kitoto cha 2000 zero brain ni tiktok tu imejaa kichwani, nyie ni janga la taifa,