Asante sana mpishi wa biriani Mwanza

Asante sana mpishi wa biriani Mwanza

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Jana nimejichanganya sehemu moja Mwanza nikaambiwa wanapika birian zuri sana nilichokutana nacho Mungu anajua.

Asanteni sana Mwanza [emoji1487][emoji1487][emoji1487]

Screenshot_20210531-124320.jpg
 
Hahahahahaa! Ninacheka mimi jamani. Mimi naweza kula samaki hata 30dys Mwanza..yaan sitaki wali wala ugali wao. Nikichoka sana kiepe samaki. Hahahaa mapishi huko nenda hotel classic mkuu🤣🤣
 
Hahahahahaa....ninacheka mimi jamani...mm naweza kula samaki hata 30dys mwanza..yaan sitak wali wala ugali wao ..nikichoka sana kiepe samaki..hahahaa mapishi huko nenda hotel classic mkuu[emoji1787][emoji1787]
Mpishi Kaniona Sana Boya Mkuu Ila Sitakula Tena Hiki Chakula [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ningekula parachichi alafu nasepa. Hilo boko watauza tena.

Manina.
 
Hahahahahaa! Ninacheka mimi jamani. Mimi naweza kula samaki hata 30dys Mwanza..yaan sitaki wali wala ugali wao. Nikichoka sana kiepe samaki. Hahahaa mapishi huko nenda hotel classic mkuu🤣🤣
Nina mpango wa kufungua restaurant mje mle kujibaragaza
Hilo tatizo la msosi mwanza ata mimi nililiona ases
 
Mkuu acha mambo mengi......hilo ni biriani la type ya Mwanza.....mabiriani yanatofautiana kulingana na eneo ulilopo.......piga msosi........
Yes atulize wenge ahakikishe biriani limeisha hizo parachichi amalize na apige maji Kama nusu Lita then anisake hapa Nyegezi Kona nimpe of a ya bia mbili tatu akalale
 
Back
Top Bottom