Asante sana Mtangazaji Adam Mchomvu kwani Jina lako kutokana na 'Tukio' la 'Kibabe' ulilolifanya limenisaidia na litanisaidia pia

Asante sana Mtangazaji Adam Mchomvu kwani Jina lako kutokana na 'Tukio' la 'Kibabe' ulilolifanya limenisaidia na litanisaidia pia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna Tamasha langu dogo tu nililiandaa jana mahala fulani ambako kiukweli huku huwa kuna Fujo hasa kutokana na Historia ya Wakazi wa huko. Hivyo basi katika kuamua kujizatiti ili lisiharibike na hao Wahuni katika Ubao wangu wa Tangazo na Viingilio kwa chini nikasema Adam Mchomvu atakuwepo kama Mlinzi ( Mtunza Amani ) na kiukweli hadi mwisho hakukutokea Fujo yoyote ile.

Asante mno Adam Mchomvu.
 
Back
Top Bottom