profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
lazimisha na wewe uwe nalo uone kama inawezekanaBado hujafikia level ya kumiliki Gari,sema unalazimisha tu.
Mimi magari ninayo na sio moja tu pia sio kwa kulazimisha,lazimisha na wewe uwe nalo uone kama inawezekana
Sio wote wanaonunua magari wako vizuri au wana uwezo sana, kuna sababu tu mbalimbali zinafanya mtu ulazimike kuwa na gari.Mimi magari ninayo na sio moja tu pia sio kwa kulazimisha,
Naona kisu kimekuchoma kunako ndio maana ukatoka shimoni.
Unaposema tu Toyota unakua hujaeleweka,lazima uwe specific unaongelea gari ipi hasa?Sio wote wanaonunua magari wako vizuri au wana uwezo sana, kuna sababu tu mbalimbali zinafanya mtu ulazimike kuwa na gari.
Mbona fresh tu,nadhani mtoa mada alikuwa na lengo la kusifia urahisi wa kumiliki gari ya toyota,hata ikitokea mambo yamekuwa magumu unaweza kutatua tatizo la kiufundi kwa hela kidogo.
Tuache kujikweza bila sababu za msingi wakuu.una magari mengi .... si vibaya safi sana....
Mimi magari ninayo na sio moja tu pia sio kwa kulazimisha,
Naona kisu kimekuchoma kunako ndio maana ukatoka shimoni.
Kwa umasikini wako unaona ni tambo ila ungekua vizuri ungeona ni jambo la kawaida,Hizi tambo zanini kwa hizi fake ID zetu?
JF kila mtu tajiri[emoji23][emoji23]
Diagnosis haipungui 40000 huyu ana passoUngesema ahsante Passo.
Toyota Fortuner kwa hiyo 10k yako ingekuwa ya kujua tatizo kwanza sio ya kumaliza tatizo
Tafuta helaNimetoka sehemu na gari yangu,kufika home nacheki tairi ya nyuma kushoto,dah yote imelowa oil,
Kumwita fundi anasema ni oil ya diff,seal ya ekseli imekufa.
Nikicheki mfukoni,mambo yako ovyo vibaya sana,fundi akatoa oil seal,kwenda dukani wananiambia sh 5000/(elfu tano),nilijua labda wamekosea bei,kumbe ni sawa,nikampa fundi akafunga,nae nikampoza 5000/=,jumla nimetumia 10 tu,
Kweli kuna gari kali sana duniani,ila mwacheni toyota abaki kuwa toyota.
Service ya passo ni expensive kuliko ya toyota allion au altezza.Andika tu Asante Passo [emoji3][emoji3]
Hainunui hata boltitakuwa passo hiyo gari yako.
una V8 kweli itumike 10k
Kwa umasikini wako unaona ni tambo ila ungekua vizuri ungeona ni jambo la kawaida,
Nyie ndio mtu akileta thd hapa kua kapigika na maisha hua wazuri wa kufariji,mara komaa mkuu utatoka tu,
Ila mtu akiongelea kidogo tu kua yupo vizuri kwa mtazamo wake mnaanza ngonjera zenu,mnapenda sana kusikia habari za watu wanadhiki japo mpate kujifariji kua kumbe kuna watu nao wanateseka! Badili hiyo fixed mind mentality ili upate kwenda mbele japo kidogo,
Halafu hiyo comment yangu nimemjibu kapuku mwenzako kutokana na swali lake alivyouliza.