Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Wanamkwanja wale watu.Mechi iliyopita nilimuona Salomon Kalou anaichezea hii timu , sijajua Alex song kama bado yupo au kashaacha kuichezea hii timu.. itakuwa wana hela hawa jamaa si bure!
Nawakubwa wenzangu. unasemaje?Kukuondolea aibu wewe na nani?
Hakuna mkubwa atakubaliana na huo uchwara.Nawakubwa wenzangu. unasemaje?
Uchwara upi uliouona wewe?Hakuna mkubwa atakubaliana na huo uchwara.
Kuiona Arta Solar kwamba haitakiwi kushinda dhidi ya Zamalek ni uchwara mkubwa sana. Mpira ni mchezo wa makosa na yeyote anafungwa. Morocco alipoifunga ureno world cup uliona aibu?Uchwara upi uliouona wewe?
GENTAMYCINE anakuuliza, umeshaukweka kwanza? maana huenda tunasumbuliwa na mtu aliebanwa mkweko.Kuiona Arta Solar kwamba haitakiwi kushinda dhidi ya Zamalek ni uchwara mkubwa sana. Mpira ni mchezo wa makosa na yeyote anafungwa. Morocco alipoifunga ureno world cup uliona aibu?
Nimetoka kumkweka baba yako.GENTAMYCINE anakuuliza, umeshaukweka kwanza? maana huenda tunasumbuliwa na mtu aliebanwa mkweko.
Nilitamani ki Zamalek kitoleweIngekuwa aibu na fedheha kama zamalek ingetolewa na hawa Arta Solar ya Djibout, lakini fulltime Zamalek 4-1 Arta Solar, agrigate 4-3.
Alianza Zamalek kuchezea kipigo cha 2-0 ugenini! Katika game yaleo mpaka half time Zamalek alikuwa nyuma kwa goli moja hivyo kudaiwa goli 4 ndani ya dakika 45 za kipindi cha pili!
Wanaume wamepambana na kukwepa fedheha na hatimae dakika ya 89 wakaweka chuma cha 4! Hakika ingekuwa aibu sana na fedheha kama aliyoipata Pirates jana.
Nasasa unakwenda kuwakweka mama na dingi yako eti?Nimetoka kumkweka baba yako.