Asante sana!

Rugaijamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2010
Posts
2,942
Reaction score
1,298
Wakuu,hope mko poa kabisa!Ninapenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa uongozi mzima wa JF,pamoja na members wote kwa ushauri,maelekezo na muitikio wenu wakati ule nilipokuwa nikihangaika namna ya kumuhamisha mwenza wangu,hususan pale nilipoweka bandiko la kutafuta mwalimu wa kubadilishana naye.Wengi walijitokeza na wengine kwa simu huku wakiniahidi kunisaidia....Leo nimejawa na furaha sana,kwani TUMEFANIKIWA!ASANTENI SANA NDUGU ZANGU,NA MUNGU AWAZIDISHIE MOYO WA KUSAIDIANA(na mimi pia).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…