Kwa kweli ninajisikia raha sana kuona jinsi hawa jamaa zetu wanavyohangaika kutafuta furaha baada ya kupigwa mikuki miwili bila majibu.
Wana Simba tunawa enjoy sana kiasi kwamba hata lile tamasha lao eti la kutucheka nina uhakika litabuma.
Mtu mwenye uchungu moyoni anawezaje kucheka?
Pamoja na kwamba ubingwa wanao tayari na wako nusu fainali kombe waliloliita la luza,bado hawana furaha.
Hawa jamaa kumfunga Simba ndiyo furaha yao kubwa mno duniani.Hahahaaa!
Simba nguvu moja
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app