Ule ushindi wa goli mbili ndiyo Kombe lenu hiloKwa kweli ninajisikia raha sana kuona jinsi hawa jamaa zetu wanavyohangaika kutafuta furaha baada ya kupigwa mikuki miwili bila majibu.
Wana Simba tunawa enjoy sana kiasi kwamba hata lile tamasha lao eti la kutucheka nina uhakika litabuma.
Mtu mwenye uchungu moyoni anawezaje kucheka?
Pamoja na kwamba ubingwa wanao tayari na wako nusu fainali kombe waliloliita la luza,bado hawana furaha.
Hawa jamaa kumfunga Simba ndiyo furaha yao kubwa mno duniani.Hahahaaa!
Simba nguvu moja
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Maana ndicho kinawatesa kuliko hata pesa nyingi tulizovuna champions league.Ule ushindi wa goli mbili ndiyo Kombe lenu hilo
Hahahaa.Kibu hamtamsahau maisha yenu yote alivyombinua kipa wenumna strss sana
Hii sio shida yetu,bali ni yenu washamba ambao hamjui kuna timu kubwa Ulaya hawatapata makombe piaMsimu wa pili mtamaliza bila kikombe zaidi ya Maneno ya kufa kiume, kombe la looser na kuifunga yanga.
PopomaKwa kweli ninajisikia raha sana kuona jinsi hawa jamaa zetu wanavyohangaika kutafuta furaha baada ya kupigwa mikuki miwili bila majibu.
Wana Simba tunawa enjoy sana kiasi kwamba hata lile tamasha lao eti la kutucheka nina uhakika litabuma.
Mtu mwenye uchungu moyoni anawezaje kucheka?
Pamoja na kwamba ubingwa wanao tayari na wako nusu fainali kombe waliloliita la luza,bado hawana furaha.
Hawa jamaa kumfunga Simba ndiyo furaha yao kubwa mno duniani.Hahahaaa!
Simba nguvu moja
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Maana ndicho kinawatesa kuliko hata pesa nyingi tulizovuna champions league.
Na mimi nafurahi sana kwa kuwa mnajifariji tu moyoni,ila mnauchungu sana.
Suala la Kombe kuna PSG huko na kuna timu nyingi kubwa hawatachukua vikombe vikubwa.Ni kawaida kwenye mpira.
Ila nyie uto hamuelewi ndio maana mna maumivu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile ap
PSG KOMBE KUBWA ALICHUKUA LINI KWAMBA AKILIKOSA ATAONA AMEKOSA?Kwa kweli ninajisikia raha sana kuona jinsi hawa jamaa zetu wanavyohangaika kutafuta furaha baada ya kupigwa mikuki miwili bila majibu.
Wana Simba tunawa enjoy sana kiasi kwamba hata lile tamasha lao eti la kutucheka nina uhakika litabuma.
Mtu mwenye uchungu moyoni anawezaje kucheka?
Pamoja na kwamba ubingwa wanao tayari na wako nusu fainali kombe waliloliita la luza,bado hawana furaha.
Hawa jamaa kumfunga Simba ndiyo furaha yao kubwa mno duniani.Hahahaaa!
Simba nguvu moja
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
asa zile pre season za kuzunguka dunia nzima ndo kusema lengo lilikuwa kumfunga mtani!!!NDO MAANA CJUTII KUHAMA HII TIMU MADUNDUKA FCKwa kweli ninajisikia raha sana kuona jinsi hawa jamaa zetu wanavyohangaika kutafuta furaha baada ya kupigwa mikuki miwili bila majibu.
Wana Simba tunawa enjoy sana kiasi kwamba hata lile tamasha lao eti la kutucheka nina uhakika litabuma.
Mtu mwenye uchungu moyoni anawezaje kucheka?
Pamoja na kwamba ubingwa wanao tayari na wako nusu fainali kombe waliloliita la luza,bado hawana furaha.
Hawa jamaa kumfunga Simba ndiyo furaha yao kubwa mno duniani.Hahahaaa!
Simba nguvu moja
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Huna furaha una kidonda mpenda sifa za kuifunga Simba.Raha ya mechi ni bao, Lakini furaha ya mashindano ni UBINGWA[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]