Asante Simbachawene kwa ufafanuzi kuhusu wakimbizi wa Msumbiji

Asante Simbachawene kwa ufafanuzi kuhusu wakimbizi wa Msumbiji

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Kiukweli ni ngumu sana kuchambua kati ya mkimbizi na gaidi,nani anaweza kuwachambua? Msumbiji wilaya moja ndio ina magaidi kwanin wanamsumbiji wasikimbilie maeneo mengine ya nchi yao?

Kuwakubali wakimbizi wa Msumbiji ni kukubali kuishi na 🐍 siku yoyote atakung'ata tu.

Chanzo:Waziri wa mambo nje George Simbachawene akihojiwa na BBC
 
Ni kweli magaidi wa Mozambique mbali ya wanaume pia wapo magaidi wa kike ripoti za kiintelejensia zinabainisha.

Utasikia kuwa Tanzania inalaumiwa kwa kukataa wakimbizi kina mama na watoto lakini ukweli ni kuwa katika kundi hilo kubwa pia magaidi wanawake kwa waume wapo.

Jumuiya za kimataifa zinaona dili za kupiga pesa za wakimbizi ni kufungua makambi ndani ya nchi salama ya Tanzania. Ila hawajabaini kuwa ndani ya wakimbizi hao kuna magaidi wake kwa waume.

Mashirika ya ukimbizi yanajua hawatakuwa salama wakifungua makambi mfano mjini Pemba Mozambique na sehemu zingine za kusini au za kati ya Mozambique.

Mashirika ya ukimbizi hayasemi ukweli kwanin hawataki kufungua na kuendesha makambi ya wakimbizi wa ndani ya Mozambique. Sababu ni kuwa hawana uhakika kuendesha kwa usalama makambi ndani ya Mozambique. Hivyo wanataka kuibebesha Tanzania kazi ya ulinzi na usalama ambayo ingeweza kufanyika Pemba na Nacala Mozambique.

Na hawa "wakimbizi" mara nyingi hutumika na magaidi kuwa maficho yao, bila kugusia ukosefu wa nidhamu na rushwa ktk majeshi ya Mozambique ambayo husababisha silaha zao kuwa mikononi mwa magaidi aidha kwa kuwauzia au kwa vile baadhi ya walio ktk majeshi ya ulinzi na usalama ya Mozambique wanaihusudu kampeni ya magaidi hao.

Historia inaonesha kuwa mashirika ya ukimbizi huweza kuchochea matatizo ya kigaidi kuvuka mipaka ya nchi. Huko Vietnam, Laos, Cambodia na Thailand bila kusahau Burundi, Congo DR, Rwanda n.k mashirika ya kimataifa ya ukimbizi yaliwezesha kupitia kampeni zao kubwa, wakimbizi kuvuka mipaka na kueneza mapigano na ugaidi ktk nchi zinazopakana.

Msimamo wa serikali wa Tanzania upo sahihi kuyakumbusha mashirika ya ukimbizi na kuyashauri kuwa wakimbizi wa Cabo Delgado Mozambique ambao kiuhalisia ni wakimbizi za ndani watafutiwe mahali salama pa makambi ya ukimbizi yafunguliwe ndani ya sehemu salama za Mozambique huku serikali hiyo ikitafuta mbinu ya kumaliza tatizo hilo la ugaidi badala ya kuweka mwanya livuke mipaka kuingia Tanzania kupitia makambi ya ukimbizi.

Kiuhalisia baadhi ya makundi ya ukimbizi ni "makundi ya mateka" ya magaidi hao wa kike na kiume yaliyoambatana na watoto wakitaka ama wajiokoe kukimbia kipigo Mozambique na pia mbinu ya kuusambaza ugaidi uzuke mipaka ya Mozambique. Huku mashirika ya kimataifa na taasisi za kimataifa zisizo za kiserikali pia zikitafuta sehemu salama za kuweka makambi watafune pesa za Umoja wa Maitaifa bila kujua wanacheza mchezo hatari wa kurefusha ugaidi Mozambique na pia kutaka kuzitia nchi salama kama Tanzania ktk matatizo ya mapigano na ugaidi.

Filippo Grandi anatoa uzoefu wake jinsi mashirika ya wakimbizi ya kimataifa yalivyoshiriki bila kufahamu kurefusha mapigano na ugaidi ndani ya nchi na hata kuwezesha mapigano na ugaidi kuvuka mipaka ya nchi.

Filippo Grandi | Full Address and Q&A | Oxford Union​

As head of the UN Refugee Agency, Grandi leads the international response to refugee crises around the world. Through working with governments to ensure that refugees have access to protection and support and helping find solutions to displacement and statelessness, he has been engaged in international cooperation for 33 years. Grandi previously served as Commissioner-General of the UN Agency for Palestinian Refugees from 2010 to 2014.
Source : OxfordUnion
 
Yale: Thailand's Response to the Cambodian Genocide
The Khmer Rouge rule began as Thailand was going through a transitional period, from four decades of military dictatorship to democratic
Searching for precious resources

The business ties between Thailand and Cambodia fostered by the Chatichai administration were initially believed to benefit Cambodia’s pro-Vietnam PRK government politically and economically. However, the three Cambodian resistance factions, the Khmer Rouge in particular, did not want to led such an opportunity drift away. They were as competent as the PRK government at exploiting Cambodia’s natural resources for their own uses. The Thai governments, including the Chatichai and the successive administrations of Anand Panyarachun and Chuan Leekpai, voiced no objection to such lucrative business the Thais had with any Cambodian factions.

In fact, business contacts between Thais and the KR began as early as 1981. According to the governor of Trat Province, around two thousand Thais were already digging for rubies in the Khmer Rouge-controlled area opposite Trat. They regularly crossed into Cambodia despite a warning of possible danger. Many were killed and injured when Vietnamese troops attacked the area. Thailand’s Response to the Cambodian Genocide | Genocide Studies Program

I. The Khmer Rouge as a threat​

The Khmer Rouge rule began as Thailand was going through a transitional period, from four decades of military dictatorship to democratic rule, and from its role as an American client to a rapprochement with the communist states. The transition was a result of the rapid changes in both the domestic and regional situations. The unstable civilian governments after the 14 October 1973 revolution were forced to cope with the challenges in fear of expansive communist power. The open political system permitted the internal political forces to participate in various policy issues, including foreign affairs. The intense struggle between the left and the right subsequently led to a massacre of students in the heart of the Thai capital, and the military coup on 6 October 1976. Between 1973 and 1976 there were rapid shifts of Thailand’s foreign policy toward its neighbors from anti-communism to co-existence and then back to anti-communism again. It was also the only period in which the country’s foreign policy towards its neighbors was heavily criticized by non-bureaucratic elements. This chapter will discuss the factors which influenced the establishment of relations between Thailand’s civilian government and Cambodia between 1973 and 1976, and the subsequent suspension of the relationship after the Thai military staged the bloody coup of October 1976. Thailand’s Response to the Cambodian Genocide | Genocide Studies Program
 
Kiukweli ni ngumu sana kuchambua kati ya mkimbizi na gaidi,nani anaweza kuwachambua? Msumbiji wilaya moja ndio ina magaidi kwanin wanamsumbiji wasikimbilie maeneo mengine ya nchi yao?

Kuwakubali wakimbizi wa Msumbiji ni kukubali kuishi na 🐍 siku yoyote atakung'ata tu.

Chanzo:Waziri wa mambo nje George Simbachawene akihojiwa na BBC
Kupokea wageni kutoka msumbiji soup sahihi kabisa

It will be the biggest mistake
 
Ni kweli magaidi wa Mozambique mbali ya wanaume pia wapo magaidi wa kike ripoti za kiintelejensia zinabainisha.

Utasikia kuwa Tanzania inalaumiwa kwa kukataa wakimbizi kina mama na watoto lakini ukweli ni kuwa katika kundi hilo kubwa pia magaidi wanawake kwa waume wapo.

Jumuiya za kimataifa zinaona dili za kupiga pesa za wakimbizi ni kufungua makambi ndani ya nchi salama ya Tanzania. Ila hawajabaini kuwa ndani ya wakimbizi hao kuna magaidi wake kwa waume.

Mashirika ya ukimbizi yanajua hawatakuwa salama wakifungua makambi mfano mjini Pemba Mozambique na sehemu zingine za kusini au za kati ya Mozambique.

Mashirika ya ukimbizi hayasemi ukweli kwanin hawataki kufungua na kuendesha makambi ya wakimbizi wa ndani ya Mozambique. Sababu ni kuwa hawana uhakika kuendesha kwa usalama makambi ndani ya Mozambique. Hivyo wanataka kuibebesha Tanzania kazi ya ulinzi na usalama ambayo ingeweza kufanyika Pemba na Nacala Mozambique.

Na hawa "wakimbizi" mara nyingi hutumika na magaidi kuwa maficho yao, bila kugusia ukosefu wa nidhamu na rushwa ktk majeshi ya Mozambique ambayo husababisha silaha zao kuwa mikononi mwa magaidi aidha kwa kuwauzia au kwa vile baadhi ya walio ktk majeshi ya ulinzi na usalama ya Mozambique wanaihusudu kampeni ya magaidi hao.

Historia inaonesha kuwa mashirika ya ukimbizi huweza kuchochea matatizo ya kigaidi kuvuka mipaka ya nchi. Huko Vietnam, Cambodia na Thailand bila kusahau Burundi, Congo DR, Rwanda n.k mashirika ya kimataifa ya ukimbizi yalisababisha suala la wakimbizi kuvuka mipaka ilisababisha kueneza mapigano na ugaidi ktk nchi zinazopakata.

Msimamo wa serikali wa Tanzania upo sahihi kuyakumbusha mashirika ya ukimbizi na kuyashauri kuwa wakimbizi wa Cabo Delgado Mozambique ambao kiuhalisia ni wakimbizi za ndani watafutiwe mahali salama pa makambi ya ukimbizi yafunguliwe ndani ya sehemu salama za Mozambique huku serikali hiyo ikitafuta mbinu ya kumaliza tatizo hilo la ugaidi badala ya kuweka mwanya livuke mipaka kuingia Tanzania kupitia makambi ya ukimbizi.

Kiuhalisia baadhi ya makundi ya ukimbizi ni "makundi ya mateka" ya magaidi hao wa kike na kiume yaliyoambatana na watoto wakitaka ama wajiokoe kukimbia kipigo Mozambique na pia mbinu ya kuusambaza ugaidi uzuke mipaka ya Mozambique. Huku mashirika ya kimataifa na taasisi za kimataifa zisizo za kiserikali pia zikitafuta sehemu salama za kuweka makambi watafune pesa za Umoja wa Maitaifa bila kujua wanacheza mchezo hatari wa kurefusha ugaidi Mozambique na pia kutaka kuzitia nchi salama kama Tanzania ktk matatizo ya mapigano na ugaidi.

Filippo Grandi anatoa uzoefu wake jinsi mashirika ya wakimbizi ya kimataifa yalivyoshiriki bila kufahamu kurefusha mapigano na ugaidi ndani ya nchi na hata kuwezesha mapigano na ugaidi kuvuka mipaka ya nchi.

Filippo Grandi | Full Address and Q&A | Oxford Union​

As head of the UN Refugee Agency, Grandi leads the international response to refugee crises around the world. Through working with governments to ensure that refugees have access to protection and support and helping find solutions to displacement and statelessness, he has been engaged in international cooperation for 33 years. Grandi previously served as Commissioner-General of the UN Agency for Palestinian Refugees from 2010 to 2014.
Source : OxfordUnion
Umedadavua kwa weledi mkubwa sana
 
Kiukweli ni ngumu sana kuchambua kati ya mkimbizi na gaidi,nani anaweza kuwachambua? Msumbiji wilaya moja ndio ina magaidi kwanin wanamsumbiji wasikimbilie maeneo mengine ya nchi yao?

Kuwakubali wakimbizi wa Msumbiji ni kukubali kuishi na [emoji216] siku yoyote atakung'ata tu.

Chanzo:Waziri wa mambo nje George Simbachawene akihojiwa na BBC
Simbachawene(Mzee wa Titanic) si bado alibaki wizara ya mambo ya ndani?
 
7 Apr 2020

JENERALI VENANCE SALVATORY MABEYO: YALIYOTOKEA KWA WENZETU MSUMBIJI YAMETUSHTUA TUMEJIPANGA

Mkuu wa majeshi nchini Tanzania (CDF) generali Venance Mabeyo amesema leo 7 Aprili 2020 muingiliano wa raia wa Tanzania na Msumbiji usiwe chanzo cha mvurugano na kuwahasa watanzania kuwa makini na kutoa taarifa zitakazowawezesha kuimarisha zaidi usalama.
Source : mwananchi digital
 
Tanzania: 'Tunapolinda mipaka yetu tusitafsiriwe kama tunawazuia wakimbizi'​

  • Munira Hussein
  • BBC Swahili
15 Aprili 2021
Waziri wa mambo ya ndani

CHANZO CHA PICHA,WIZARA YA MAMBO YA NDANI TANZANIA
Maelezo ya picha,
George Simbachawene amesisitiza kuwa Tanzania inalinda mipaka yake na kujilinda dhidi ya magaidi
Waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania George Simbachewene amesema kuwa Ripoti ya Umoja wa mataifa juu ya Tanzania kurudisha wakimbizi wa msumbuji haina uhalisia wowote.
Katika mahojiano na BBC Simbachawene amesisitiza kuwa Tanzania inalinda mipaka yake na kujilinda dhidi ya magaidi ambao wakati mwingine wanaweza kujichanganya na wakimbizi kisha kuingia nchini.

''Hakuna uhalisia wowote wa ripoti hii Je unawezaje kuwajua wanapotaka kuvuka kuja upande wa pili, je unawezaje kuwajua kama humo hakuna magaidi, sisi tunaogopa hawa magaidi, tunalinda mipaka yetu na tunapolinda tusitafsiriwe kama tunawazuia wakimbizi'' anasema Waziri Simbachawene.

Wiki iliyopita Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika Wakimbizi (UNHCR) lilisema limepokea ripoti kuwa wakimbizi wa Msumbiji wapatao 600 waliokimbilia Tanzania wametakiwa kurejea kwao.

"UNHCR ina wasiwasi juu ya familia zilizozuiwa makazi au kulazimishwa kurudi kwao na Tanzania," taarifa imeeleza.

Hata hivyo Waziri Simbachewene amesisitiza kuwa wakimbizi hao wanaweza kuhifadhiwa na Msumbiji yenyewe kwakua sehemu yenye machafuko ni wilaya moja hivyo hakuna haja ya Tanzania kuwa suluhisho.

'Serikali ya Msumbiji itajihidi kushughulika nao, eneo lenye machafuko ni wilaya moja tu, hivyo wawapeleke sehemu ambayo haina machafuko, ni wilaya moja tu, nyingine zote kuko salama inakuaje suluhisho iwe Tanzania?. Anasema Waziri Simbachawene.

Kumekuwa na ghasia nchini Msumbiji katika mji wenye utajiri wa gesi, Cabo Delgado tangu mwaka 2017.
Wanamgambo hao wamekuwa wakishambulia vijiji mbalimbali katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.

CHANZO CHA PICHA,AFP
Maelezo ya picha,
Wanamgambo hao wamekuwa wakishambulia vijiji mbalimbali katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.

Kutokana na machafuko hayo kuna wakimbizi ambao wamekwama msituni wakiwa na changamoto ya upatikanaji wa chakula na maji, baadhi walikimbilia kusini na wengine kaskazini katika mpaka wa Tanzania na Msumbiji.

Shambulio la mwezi Machi lililotokea Palma limelazimisha watu wapatao 10,000 kukimbia makazi yao, kwa mujibu wa UNHCR.

Maelfu ya watu wamekimbilia msituni wakati wanamgambo wa kiislamu walipoanza kushambulia, ambapo wanamgambo hao wanaripotiwa walikuwa wakiwachinja wananchi.
Watu kadhaa wameuawa , wakiwemo raia wawili wa kigeni ingawa hakuna taarifa rasmi kuhusu idadi ya vifo vilivyotokea.

Wasiwasi wa usalama baada ya shambulio hilo umefanya kampuni kubwa ya kifaransa ya mafuta Total kuondoka katika eneo hilo ambalo walikuwa wamewekeza mabilioni ya fedha katika mradi wa gesi huko Afungi peninsula, kilomita chache kutoka Palma.

UN pia imelazimika kusitisha operesheni zake za ndege kutoka Afungi, na kusababisha maelfu ya watu kuwa na sintofahamu.
Taasisi ya majanga nchini Msumbiji imesema kuwa watu wapata 30,000 wanahitaji kupatiwa misaada ya kibinadamu.

Wafanyakazi wa mashirika ya msaada na wamishionari kwa sasa wanawasaidia mamia ya wakimbizi waliokimbia makazi yao katika mji wa Pemba.

Wengi wa wakimbizi wanasaidiwa na ndugu na marafiki, UNHCR imesema.

Mapigano hayo yamesababisha watu zaidi ya 2,600 kuuawa, huku nusu yao wakiwa raia na watu wapatao 700,000 kukimbia makazi yao.
Source : BBC
 
Swiss minister says UN Palestinian refugee agency fuelling Mideast conflict​

Thursday 17/05/2018

casis.jpg

"By supporting UNRWA, we are keeping the conflict alive"
GENEVA - The UN agency for Palestinian refugees is fuelling "unrealistic" hopes of return after 70 years of exodus and is therefore helping keep the Mideast conflict alive, Switzerland's foreign minister said Thursday.
The United Nations Relief and Works Agency (UNRWA)was established after the war surrounding Israel's creation in 1948, when around 700,000 Palestinians fled or were expelled.
But Swiss Foreign Minister Ignazio Cassis pointed out that the number of Palestinian refugees living in Lebanon, Jordan, Syria, the West Bank and Gaza has swelled to more than five million.
The UN agency, he said, "worked as a solution for a long time, but today it has become part of the problem."
- Fuelling the conflict? -
"It provides ammunition to continue the conflict. For as long as Palestinians live in refugee camps, they will want to return to their homeland," he said.
"By supporting UNRWA, we are keeping the conflict alive."
"It is unrealistic that this dream (of return) will be fulfilled for all," he said in an interview given to several German-language papers owned by the Swiss NZZ group.

"But UNRWA maintains this hope. For me, the question is whether UNRWA is part of the solution or part of the problem," he said, concluding that "it is both".

Source : Swiss minister says UN Palestinian refugee agency fuelling Mideast conflict | MEO
 
Badala ya un kulaumu Tanzania kuwakataa wakimbizi wajikite kuzuia magaidi kupata silaha na kuwawekea vikwazo wanaotoa silaha kwa magaidi
 
29 July 2021
Sydney, Australia

Africa and Europe rally to contain
Islamic insurgency in Mozambique​

DAVID BREWSTER
But it won’t be the end of the story.

In recent days, military advance teams from South Africa and Botswana began to deploy to northern Mozambique to support governments forces in their fight against a growing Islamist insurgency. They will join Rwandan combat troops and military training contingents from Europe and the United States. But there is little cause for optimism. There is a significant risk that current regional support for Mozambique will not achieve its objectives and that a larger international military coalition will be required to quell the fighting.

Mozambique doesn’t seem capable of containing the growing conflict within its borders. Over the last year or more, Islamist extremists have taken control of large parts of its northern provinces, capturing large towns from government forces on several occasions, most recently including the regional centre of Palma. According to the United Nations, as many as 1 million people may have been displaced by the fighting. Mozambique’s government has floundered its response and attempts to use foreign mercenaries have failed.

Other international players will need to work with Mozambique and South Africa to contain the multiple threats from this conflict.
Over the last 12 months, Mozambique’s neighbours, including South Africa, the local regional power, have become increasingly fearful of the potential for the conflict to affect other parts of the region, through population displacements and the spread of extremist ideologies.

France also has important interests. Its island territory of Mayotte, just off the Mozambique coast, could be vulnerable to Islamist extremism. France’s Total oil company, which is investing some $20 billion in Mozambique’s huge natural gas projects, recently had to shut down all on-shore operations following attacks by insurgents.

With Mozambique government’s seeming powerless to contain the insurgency, the international community has stepped in with military assistance. This has included 1,000 Rwandan troops who have already begun combat operations in the northern province of Cabo Delgado. The EU recently approved a European Union Training Mission (EUTM), which will likely be comprised of Portuguese and French troops. The US military is also providing assistance through counter-insurgency training.

51144934494_be4b052d1e_b.jpg
US Special Operations Forces training Mozambican marines in March (USAFRICOM/Flickr)

The South African-led military contribution will be made through the Southern African Development Community (SADC), the regional grouping covering Southern African states. It will begin with the deployment of a small Rapid Reaction Force to Cabo Delgado ahead of what is expected to be up to a 3,000 strong composite SADC force, including some 1500 South African troops.

But the Mozambique government has until now been highly reticent in accepting external assistance, particularly from its largest and most militarily capable neighbour, South Africa. This may be driven by suspicions that Pretoria will use its military presence for nefarious purposes. The testy relationship between the two countries wasn’t helped by the recent detention of South African spies operating in Cabo Delgado (leading to the suspension of the head of international operations for the South African secret services).

Any effective maritime blockade to help strangle the insurgents’ sources of funding may require a broader international naval coalition.
The insurgency could also adversely affect maritime security in Mozambique Channel and the broader Southwest Indian Ocean. The insurgents rely on the maritime trade in drugs and, possibly, other illegal products for much of their funding, and there may already be signs of an uptick in illegal maritime trade out of Mozambique. The insurgents have also been active in seizing ports and there is potential for the insurgency to result in increased piracy in the Mozambique Channel, transited annually by about 5,000 oil tankers in addition to other commercial vessels. Similar threats led major powers to increase international naval patrols in the waters around the Horn of Africa from 2008.

These maritime threats will require a naval element in the SADC regional response, to help secure the Mozambique Channel. But this will likely stretch the small South African navy, which has only a handful of ships, particularly if it is forced for security reasons to operate out of bases in South African territory.

Any effective maritime blockade to help strangle the insurgents’ sources of funding may require a broader international naval coalition. Likely contributors include France and European partners, as well as the Indian Navy. An international maritime response may also require the refocusing of various international arrangements that were previously established to address Somali-based piracy in the Northwest Indian Ocean.

Thousands flee Islamist insurgents in northern Mozambique Thousands flee Islamist insurgents in northern Mozambique pic.twitter.com/4ApQNek889
— FRANCE 24 (@FRANCE24) August 1, 2020
Other powers may also be interested in building a regional presence. Russia has already, unsuccessfully, tried to build a military presence in Mozambique through mercenaries and naval visits.

The potential for China to become involved in the conflict, in one form or another, is also not out of the question. Somali-based piracy led Beijing to establish its first overseas naval base in Djibouti in 2017. In recent weeks China Merchant Holdings (which already operates ports at Djibouti and Hambantota in Sri Lanka) it has recommenced negotiations to build a major new port in neighbouring Tanzania. This signals an expansion of China’s maritime interests on the East African littoral, which are likely to only grow.

The deployment of a large military contingent from South Africa and other SADC states, assuming Mozambique’s government permits it, is unlikely to be the end of the story. Many assume that South Africa is a “natural” security provider to its region, but it is far from a regional hegemon. Its economy is ailing and it has its own significant domestic security problems, including riots this month resulting more than 300 deaths and the deployment of thousands of troops. The South African deployment has only been initially authorised until October 2021. There is a real risk that a protracted counter-insurgency campaign in Mozambique would not be sustainable for Pretoria, or may otherwise could wear out their already threadbare welcome in the country.

This means that other international players will need to work with Mozambique and South Africa to contain the multiple threats from this conflict.

Source : Africa and Europe rally to contain Islamic insurgency in Mozambique
 
Back
Top Bottom