Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zanguni sote tunajuwa ya kuwa my Tulia no mbunge wa mbeya mjini, lakini katika Hali iliyowaacha Wana mbozi mdomo wazi Ni pale mh speaker alipokuja Jimbo la mbozi na wadau wake wa silent ocean na kuweza kusaidiaa mchango wa mabati karibu Mia mbili ili kuezeka vyumba vya madarasa katika shule ya msingi mabatini, kiukweli moyo huo Ni wakipekee Sana ulioweza kuonyesha kwetu Wana mlowo, Tunakuombea kwa mwenyezi mungu ili azidi kukupa maisha marefu yenye heri na haraka, maana mabati hayo ungeweza kupitia wadau wako kuweza kuweka jimboni kwako lakini ukatusaidia nasi kwa kuguswa na shida za wanafunzi walizokuwa wakipata ikiwepo kugongwa na magari wanapovuka lami, lakini kwa Sasa watoto Hawa wataendelea kuwa salama na siku moja tutapata viongozi wakubwa kupitia wanafunzi Hawa, kiukweli umeacha gumzo kubwa Sana huku mbozi, karibu Tena mh speaker, karibu Tena mbozi