Asante TANESCO Vipindi vinaonyeshwa kwenye TV vinasaidia sana

Asante TANESCO Vipindi vinaonyeshwa kwenye TV vinasaidia sana

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Muda huu nangalia kipindi ITV TANESCO wanaelezea kuhusu namba za marejesho. Na mchana nikapigiwa mzigoni umeme umekatika bahati na nunuaga LUKU nahifadhi.

Nikawapa wakaweka kumbe Baba Mkubwa naye ashanuua kazini kapewa na namba namba za maboresho. Jamaa wanasema kama ulishanunua huko nyuma ya kuhifadhi weka kwanza.

Ndugu zanguni nina luku za 10000 mara 2. Yani kumbe ukiweka hizi za maboresho za zamani haziingii tenaa loh natoka kuziingiza muda huu zikosha wapambane na mpya

Soma Pia: TANESCO yatangaza maboresho ya Mita za LUKU, soma ujue jinsi ya kuingiza Token upya kuanzia Juni 1, 2024

Asante TANESCO
 
Back
Top Bottom