Muda huu nangalia kipindi ITV TANESCO wanaelezea kuhusu namba za marejesho. Na mchana nikapigiwa mzigoni umeme umekatika bahati na nunuaga LUKU nahifadhi.
Nikawapa wakaweka kumbe Baba Mkubwa naye ashanuua kazini kapewa na namba namba za maboresho. Jamaa wanasema kama ulishanunua huko nyuma ya kuhifadhi weka kwanza.
Ndugu zanguni nina luku za 10000 mara 2. Yani kumbe ukiweka hizi za maboresho za zamani haziingii tenaa loh natoka kuziingiza muda huu zikosha wapambane na mpya