Asante TFF kutuwekea refa wa kimkakati kwenye game za kimkakati

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Sisi Kama wanalunyasi hatuna budi kumshukuru karia kuendelea kutuwekea refa wa kimkakati kwenye mechi zetu mpaka tuutwae ubingwa hata kama tunacheza mpira papatu papatu. Endelea kutumia udikteta wako hapo tff mpaka tubebe ubingwa kwa kishindo msimu huu

Tuweke imani kwa refa wetu wa kimkakati apangwe zile mechi ngumu za kutuzia kubeba ubingwa

Simba
Guvu moya
 
Karia atuwekee na refa wa kimkakati kwenye mechi yetu dhidi ya Al Ahyl
 
Ikiuma chomoa mkuu
 
Uto kwenye kivuli cha Mnyama....
Na mtasema..
 
Waoga wataogopa lakini makonki wala tunajilamba kwani tunauhakika na tunalo fanya hapo je?
 
Ngoja kwanza wapigwe nje ndani na Al Ahly! Wakitolewa na hiyo Al Ahly, wanaenda tena kushika mkia kwenye makundi! Halafu baada ya hapo, watakuwa wamepoteana mazima.

Maana hata aje Karia mwenyewe kuwabeba, hawatabebeka tena.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bado hujatamka tunataka utamke vizuri nyie uto
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…