Asante Yesu umetenda tena

Tenga 1/10 ya mshahara wako wa kwanza, Toa sadaka kwa kusaidia wasio na uwezo, yaweza kuwa watoto yatima/ wagonjwa au yeyote utakayeona ana mahitaji maalum, kama sehemu ya Shukrani yako kwa Mungu.

Kila lakheri
 
Hongera sana,endelea kumtegemea MUNGU atazidi kukushindia vita zingine za maisha.
 
Nina miaka mingi hapa duniani.
Nakuhakikishia mtu yoyote anayeomba kwa kumaanisha, watoto wake hawatakosa mahitaji Yao.
Ndoa yake haitakua na makando kando Wala hatakua na stress.

You are welcome if you have examples to the contrary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…