Sisi tunaoishi mwanayamala, ndugu zetu Wa magomeni mazense kagera tandale...kwa hilo tunashukuru sana Rais wetu Magufuri... Maana siku hizi japo sijaoa ila naamini heshima inarudi kwenye ndoa. Maana ninamwezi Wa pili sasa sijasikia sauti za vigodoro...jamani tulikuwa tunashida huku... Ikipita Siku bila kigodoro majumba SAA mbili yamefungwa watu wanalala Lisa hakuna mkesha Wa lazima.....Kweli Magufuri haoendagi ujingaaa...