THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Sio hivo tu Team ina defence mbovu sijawahi ona simba ya hivi.Shida ya Simba Wana washambuliaji wasio jitambua.
naona mnyama kanyamika...😀Sio hivo tu Team ina defence mbovu sijawahi ona simba ya hivi.
Wametulia watakuja Jumapili Yanga akicheza na Prisons 😂naona mnyama kanyamika...😀
🤣🤣🤣🤣🤣Shida ya Simba Wana washambuliaji wasio jitambua.
Kauli sahihi inatakiwa kua MAKOLO WAMEICHOMOA ILIKUA YA MOTO😁Makolo wamechomoaaaaaa
Mbona matokeo ya kawaida sana! Tatizo ni kuujua ushabiki wa soka baada ya Manara kuwa msemajiKiukweli Nikiripoti kutoka hapa Jamii Forum,Jukwaa la Sports(Michezo) hali ilivyo ndugu Msomaji ni ya utulivu wa hali ya juu hali ipo shwari kabisa...
Labda gari Moshi😁Yaani kile kiwango wanacho cheza Simba wenyewe wanasema Gari limewaka!!
Yeye na Tatu nani afadhali samahani lakiniHamlalamiki tena kuhusu ratiba.pia huwezi shinda chini ya shabiki la UTOPOLO Ramadhan Kayoko sijawahi ona Mwamuzi wa ovyo kama huyu Chuki aliyoionesha dhidi ya Simba itoshe tu kusema what a stupid referee ever
Kuna kipindi mtanzgazaji alikua anasemba "Simba amekalia msumari na mpaka sasa anashindwa kuuchoa" nikawa nacheka tu.Kauli sahihi inatakiwa kua MAKOLO WAMEICHOMOA ILIKUA YA MOTO[emoji16]
Chuki ipi we kolokwinyo?Hamlalamiki tena kuhusu ratiba.pia huwezi shinda chini ya shabiki la UTOPOLO Ramadhan Kayoko sijawahi ona Mwamuzi wa ovyo kama huyu Chuki aliyoionesha dhidi ya Simba itoshe tu kusema what a stupid referee ever
Angekuwa mwamuzi ni Da Tatu, kama kawaida! Leo tungeondoka na pointi 3 na magoli yetu matatu! Da Tatu ni mtu poa sana kwa kweli.Yeye na Tatu nani afadhali samahani lakini