Tuwapongeze na watu wa Chalinze kwa kutupa Kikwete wa kuimaliza CCM.

Naomba nitumie jukwaa kuwashukuru watu wa Karatu kwa kutuleta mkombozi. Wanampenda sana walisikitika wakati alipotangazwa kugombea Uraisi. Lakini wakakubali kwa kuwa wanatamani na waTz waonyeshe mafanikio waliyopata ndani ya miaka 10 ya Ubunge. Nimeacha makusudi miaka 5 ya mwanzo kwa sababu ya mizengwe.

Viva karatu na Mungu amewasaidia wamepata kichwa kingiwe kwa ajili ya Ubunge kuppita CHADEMA.

Mungu mbariki Dr Slaa for P and ibariki Tanzania.
Asante ndugu yangu kwa kutambua hilo.Mimi ni mwananchi wa jimbo la karatu na tunamshukuru Mungu kwa kuwa atamwezesha Dr kuwatumikia wengi zaidi.
Na kazi yetu moja iliyobaki ni kuhakikisha kuwa jimbo haliendi CCM kwa kuwa ametuteulia mrithi wake kwa ridhaa ya wanajimbo katika mkutano mkubwa wa hadhira( aliwapa wananchi karibia mwezi hivi kuamua kama wataka kumtafuta mrithi wao wenyewe au yeye awateulie, wote wakamwambia tuchagulie wewe kwa sauti moja!) hivyo akawaambia kuwa Mchungaji Natse anafaa kuvaa viatu vyake.
Cha kufurahisha ni kwamba wananchi tumemkubali Mchungaji kwa nia moja na atashinda kwa kishindo.
CCM hawana lao pale.