martin nyari
Member
- Jan 9, 2014
- 45
- 12
Karibu jamvini lakini huu ni mtandao wa mijadala,karibu pia chadema usiwe ccm utapata dhambi kwa mungu maana mpenda mwovu hata mungu hampendi,so ccm wana dhurumu wakulima,nk
Chadema hapana nilipokuwa mhuni zamani nilikuwa Chadema ila kwasasa hapana nipo ccm kwake kadi hii 542930
Mimi ndiyo nimeingia jamiii fórum mtandao unaoongoza Tanzania
jamiii fórum ni magazeti
Jamiii fórum ni rádio
Jamiii fórum ni Tv
Jamiii fórum ni zaidi ya habari nimeipenda endelezeni maaadili ili pawa pazuri zaidi
Asanteni
Karibu sana JF...
Kaka vipi salama, naona tunapishana tu.
Salama mkuu, siku hizi nimetindikiwa na shughuli kiasi huwa naja huku kwa nadra kidogo...kwema lakini?