<br / akishaharibikiwa vizuri ndio atachukua hatua.hapo penye kuunda tume nimepapenda, nadhani ndilo lililobaki sasa, manake kishashauriwa sana na hataki kuchukua hatua yoyote, yeye kila kukicha anakuja kulialia hapa JF! kama ni huruma tumeishamhurumia na kama ni ushauri, tumeishamshauri mengi sana, imebaki kwake kuchukua hatua!

ubarikiwe mpendwa

dada Nsiande naona umecharuka!

nami naungana na wewe hapo kwenye bold (pamoja na yote niliyomuasa) "afunguke" na Mungu atamsaidia.

ubarikiwe sana dada

<br / huyu hawez kuchukua hatua yyt mpaka atolewe roho.hapo penye kuunda tume nimepapenda, nadhani ndilo lililobaki sasa, manake kishashauriwa sana na hataki kuchukua hatua yoyote, yeye kila kukicha anakuja kulialia hapa JF! kama ni huruma tumeishamhurumia na kama ni ushauri, tumeishamshauri mengi sana, imebaki kwake kuchukua hatua!

ubarikiwe mpendwa
Miss J za siku ??
Nilikuwa busy sana lately ila nimemiss michango yako sana unaendeleaje ?