Asanteni sana JF kwa kuunda jumuiya, pia wanaJF wote kama hamtojali naomba mnisaidie kitu

Asanteni sana JF kwa kuunda jumuiya, pia wanaJF wote kama hamtojali naomba mnisaidie kitu

Karimfemani

New Member
Joined
Dec 11, 2019
Posts
4
Reaction score
2
Habari zenu mimi ni mgeni humu JF nitafurahi kama mgenijuza, kanuni ama sheria za tovuti hii kuuliza sio ujinga. Naomba maelekezo tafadhali hata ukinitajia sheria moja tu itafaa, nitashukuru.
 
Bonyeza hapo usome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejiunga muda huo huo ukatandaza uzi, na tayari ukawa unajua vionjo maarufu kama JF na mkuu.... wewe ni Great Thinker haswaaaa.
 
Back
Top Bottom