Karimfemani
New Member
- Dec 11, 2019
- 4
- 2
Umemjuaje yani umempatia kabisaUmejiunga muda huo huo ukatandaza uzi, na tayari ukawa unajua vionjo maarufu kama JF na mkuu.... wewe ni Great Thinker haswaaaa.
Utajua vipi, Kama alikua msomaji.Umejiunga muda huo huo ukatandaza uzi, na tayari ukawa unajua vionjo maarufu kama JF na mkuu.... wewe ni Great Thinker haswaaaa.
Utajua vipi, Kama alikua msomaji.
Karibu sana JF!
Hapohapo akajua na kutag watu...hahahaUmejiunga muda huo huo ukatandaza uzi, na tayari ukawa unajua vionjo maarufu kama JF na mkuu.... wewe ni Great Thinker haswaaaa.
Msomaji hawezi fahamu namna ya kumtag mtu, hehehe..Utajua vipi, Kama alikua msomaji.