charles ogopa tapeli
Senior Member
- Jul 15, 2013
- 122
- 49
*WASIFU WA MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KWELA -RUKWA 2020*
Jina Deus Clement Sangu
mzaliwa wa kijiji cha Laela wilaya ya Sumbawanga (V) mkoa wa Rukwa.
*SIFA ZA KITAALUMA*
1. Shahada ya uzamili ya uongozi na utawala(Masters of Arts Governance and Leadership MA GL ) chuo kikuu Huria Tanzania- Open University of Tanzania Inaendelea ....
2: Shahada ya uzamili ya UNUNUZI NA UGAVI(Masters of science in procurement and supply management) -Chuo kikuu Cha Mzumbe Tanzania.
3: Cheti cha juu katika fani MANUNUZI na UGAVI CPSP (T) ( kutoka katika bodi ya wataalamu wa manunuzi na ugavi PSPTB)
4: Shahada ya kwanza katika sayansi ya USIMAMIZI wa BIASHARA (Bachelor of commerce in Management sciences ) -Chuo kikuu cha Dar Es Salaam.
5: Elimu ya juu ya sekondari (V-VI) sekondari ya Mwakaleli - Mbeya
6 :Elimu ya sekondari I- IV (Seminari mtakatifu Yosefu ya Kaengesa Sumbawanga -Rukwa)
7: Elimu ya msingi :Shule ya msingi Laela "A"
*UZOEFU KATIKA KAZI*
1: Meneja Mwandamizi wa Manunuzi BENKI YA POSTA TANZANIA (Cheo alichokuwa nacho mpaka anateuliwa kuwa MGOMBEA na chama chake cha mapinduzi )
2: Amefanya kazi Kama Mkuu wa Idara ya manunuzi na Benki ya Twiga ambayo ilikua inamilikiwa na serikali chini ya wizara ya fedha kabla ya kuunganishwa na Tpb Bank.
3: Amefanya kazi Kama Afisa mwendeshaji wa Benki (Bank Operation Officer)-BARCLAYS BANK TANZANIA
4: Amefanya kazi Kama kiongozi wa Timu ya Waangalizi wa kimataifa katika uchaguzi mkuu wa Tanzania 2010 mikoa ya Rukwa na Manyara chini ya shirika la umoja wa mataifa UNDP.
5. Amefanya kazi kama mhasibu Halmashauri ya wilaya ya Mpanda.
6. Pia amefanya kazi kama meneja wa miradi ya ujenzi wa barabara ushirombo , Lusaunga', Lunzewe na kigali Rwanda chini ya kampuni kubwa ya ujenzi wa barabara Africa ( Strabag International )
View attachment 1555480View attachment 1555481View attachment 1555482