comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
its me agaaain, king of the kings! jungle master! a.k.a the ICON, ni comrade kipepe once again!
Ohhooo ebannaaee comrade nimekuja kuwashukuru members wote kwa kunikaribisha jf, mmekua watu wakarimu sana! tofauti na nilivyosikiaga et JF members wake wanadharau na majivuno!
nawashukuru sana nimejiunga jana tuu lakin nimewajua nyie ni watu wemaa na wakarimu,.
briiii! uyooo ndio nasepa hvyo kama nakimbiza swala!
wayaaaaaaa!