comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
sawasawaKaribu mzee ila penda sana kabla ujaposti kukumbuka kuwa duniani tunaishi mara moja tu
Na utachoandika chochote kitabaki humu hata ukifa mimi naomba huwe na ofu kupitia imani yako
"ila mimi hayo niliyosema hapo juu hata moja sijawai fanyia kazi humu "
Kwani ile ID yako nyingine ni EMBE kusema umevundika liive??
PoaIla usilete ishu za kutudukua.
Karibu sana JF mjukuu hapa kwa GT.