Kula tunda sasa!! usipoteze muda!
hapo sasa ndipo unapokosea,wakati unasubiri hiyo ndoa wenzako watakuwahi,omba mzigo uburudike na dunia kaka.Nalog offnasubir had ndoa kama mafundisho yanavosema.
ameeeeeen.Nalog offaleluyah!
Shikamoon wote!!ebana,juzi kati nilileta thread hapa nkielezea matatzo yangu na my gal,kwamba hapokei cmu wala kujbu txts zangu,nikapewa ushauri na wadau wa nin cha kufanya ktk kipindi kile kigumu,bt namshukuru mungu shemeji/wifi yenu leo kanitafuta,tumeongea mengi na amenisamehe,so maisha yanaendelea ka kawaida..mbarikiwe sana.
hapo sasa ndipo unapokosea,wakati unasubiri hiyo ndoa wenzako watakuwahi,omba mzigo uburudike na dunia kaka.Nalog off
Enenda zako kwa amani, usitende dhambi tena.
kula tunda sasa!! Usipoteze muda!