Asanteni sana

Asanteni sana

the-true-wash

Senior Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
142
Reaction score
109
Nimekuwa nasoma mada nyingi sana hasa za biashara na kilimo hapa JF.
wafuatao napenda kuwapa hongera na kuwashukuru sana sana kwani kwa sasa nina mawazo mapya hasa ya maendeleo.
ASANTENI SANA....
1. CHASHA
2. KUBOTA
3. MALILA

Mbalikiwe!! Msikate tamaa
 
Mkuu pamoja sana, Kilichopo ni sisi wenyewe kuwa siliasi na tusibakie kusoma na kuserve tu ni lazima tufanya mambo practically
 
Back
Top Bottom