Nimekuwa nasoma mada nyingi sana hasa za biashara na kilimo hapa JF.
wafuatao napenda kuwapa hongera na kuwashukuru sana sana kwani kwa sasa nina mawazo mapya hasa ya maendeleo.
ASANTENI SANA....
1. CHASHA
2. KUBOTA
3. MALILA
Mbalikiwe!! Msikate tamaa