Asanteni Simba kufata ushauri wangu, chizi vitabu mwenye akili nyingi

Asanteni Simba kufata ushauri wangu, chizi vitabu mwenye akili nyingi

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Huku ndani namwaga madini mengi sana nilitoa habari ya menina kudai mamiilioni ikapostiwa instagram copy and paste yangu yangu kuna ya biashara kudaiwa kuuza mechi hadi kitenge kapost ingawa kapost pia ila source ni nuhu adams wa ghana natishiwa inbox eti nitafungwa harakisheni fastaa wajinga.

Mimi maisha yangu magumu sana njoo inbox nunua kitabu utapata namba yangu puumbavuu punguani wahedii nina akili zilizopitliiza ningekuwa nchi zenye akili mimi ni tajiri ila sababu niko na wajinga acha niishi na wajinga ipasavyo mazafaka.

Anyway majuzi aisee nilalamika kuhusu simba kufanya mazoezi ya wazi kumbe jamii forums ina nguvu sana , asanteni viongozi wetu kunisikiliza naona hii picha huu uwanja pitch mBovu ila una ukuta hakuna wachawi kabisa majitu megine yalikuwa yanakjua boko na bunju na jezi za simba na macho ya kichawi kumbe utopwinyo.

Asanteni sana mara moja moja basi mniite nije nichukue tuzo ya mshauri bora pembeni ya mwezi mchanga gentamycine ambaye jana nimegundua kumbe ni braza wangu kama alisoma ni wyliff keto aliekuwa anamgonga mama yangu mdogo makao mapya arusha flats za bot akiwa anachezea arusha dah aisee popoma ingawa ananikera acha niende naye polepole nilikua mdogo sana miaka hiyo keto alikuwa anannishika mkono naingia naye sheikh amri abedi akiwa na kina sanifu lazaro alexander wilson,nyoni ,almasi... Dah , anyway asanteni viongozi wetu Simba sc.

Kingine mara ya mwisho kabla kuaabishwa na makirikiri niliona ceo barbra akisindikizwa kwenye gari na watu watano ,nilitoa ushauri kwamba mazeoezi ya wazi anavyovamiwa na watu wengi siyo salama haswa ukizingatia msukule wa utiopolo ulitoa voice note kumtishia.

Asanteni sana wanasimba mlioko huku nunueni vitabu basi kwangu nipate hela na kian mura wa biashara fc wakati mnatafuta wa kuwashtaki nichekini inbox mununue vitabu.

Nimefurahi sana kuona mnafanya mazoezi kwenye uwanja wenye ukuta ingawa pitch mbaya poapoa gentamycine maoni yako kaka sitaki tena kugombana na wewe aisee kama ulisoma na keto acha ninyamaze makao mapya arusha kanishika sana mkono kuingia sheikh amri abedi.

Screen Shot 2021-10-27 at 08.21.07.png
 
Kuna chawa wa shaffidauda anadai CEO wa simba kabwaga Manyanga kuna ukweli?
 
Kuna chawa wa shaffidauda anadai CEO wa simba kabwaga Manyanga kunaukweli?
nasikia pia mkuu kama ni kweli naamini hajaondoka kwa utashi wake ila kuna makosa kafanya likwemo kuingia mkataba wa azam wa milioni 380 huko utopolo wakipiga mabilioni nahisi simba huo mkataba wana u revisit itakuwa anatolewa kiaaina ila nitasikitika sana

ingawa ZA NDANINDANI ZINASEMA AKIAMBIWA KWAMBA AFANYE MAMBO YETU YA KISWAHILI HATAKI KABISA ANAAMINI SIMBA NI KAMA ARSENAL YA KIZUNGU HATA KIGOMA KINA MWAKITALIAMA NA ASHA BARAKA WALI TAKE OVER KINGUVU TAKASHINDA SASA KAMA UZUNGU ANAUPENDA SANA APUMZIKE TU ARUDI MAGORI
 
Back
Top Bottom