Tetesi: Asanteni Simba SC, sina deni tena nanyi baada ya kumalizana na Victorien Adebayor

Tetesi: Asanteni Simba SC, sina deni tena nanyi baada ya kumalizana na Victorien Adebayor

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Asanteni Simba SC sasa sina deni tena nanyi baada ya kumalizana na mshambuliaji hatari na jibu tosha la ushambuliaji Victorien Adebayor

Yuko njiani kuja nchini Tanzania kumalizana na Tajiri; Tayari ameshafuatwa na Mafia Mkubwa Sasa mtatutambua ok?

Ubaya Ubwela. Kudadadeki!


Adebayor_Victorien_580_580x473.png
 
Bado nafasi moja.
Nafasi moja ilibakizwa kwa ajili ya mpanzu, deal la Mpanzu lilipoyeyuka imebidi tuokoteze popote.
Mpanzu nafasi yake karudishwa Onana.

1) Ayoub kariplesiwa na kipa wa Horoya (Moussa Camara)
2) Karaboue
3)Che Melone
4) Valentine
5) Ngoma
6) Debora
7)Okejepha
8) Freddy
9)Mutale
10) Mukwala
11) Ahoua
12) Onana
 
Yuko njiani kuja nchini Tanzania kumalizana na Tajiri. Tayari ameshafuatwa na Mafia Mkubwa. Sasa mtatutambua Ok?

Ubaya Ubwela....Kudadadeki.
Duuuh,,,rafiki yangu bado mnamtaka victorian? Pale akuna mchezaji kwa sasa limebaki jinq tu Tena amekuwa mhuni siku izi anakula nauli za watu tu anaingia mitini, ulizia mara ya mwisho kacheza timu Gani na ni lini,,
 
Mpanzu nafasi yake karudishwa Onana.

1) Ayoub kariplesiwa na kipa wa Horoya (Moussa Camara)
2) Karaboue
3)Che Melone
4) Valentine
5) Ngoma
6) Debora
7)Okejepha
8) Freddy
9)Mutale
10) Mukwala
11) Ahoua
12) Onana
Weka na sub zao tuone
 
Weka na sub zao tuone
Sub za kitu gani? Umeingilia mada katikati. Huyo niliye m-quote kanibishia nilipomwambia wachezaji wa kigeni wa Simba wameshafikia idadi ya wachezaji 12. Yeye kakataa kasema bado nafasi moja kwavile Mpanzu dili limekufa. Ndipo nikamuorodhoshea wachezaji 12 wa kigeni waliopo Simba hadi sasa. Hivyo hakuna nafasi ya usajili tena kwa mchezaji wa kigeni
 
Back
Top Bottom