GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Bado nafasi moja.Kwani wachezaji wa kigeni hawajatimia 12? Si nafasi imeshaisha ya mchezaji wa kigeni?
Mpanzu nafasi yake karudishwa Onana.Bado nafasi moja.
Nafasi moja ilibakizwa kwa ajili ya mpanzu, deal la Mpanzu lilipoyeyuka imebidi tuokoteze popote.
Adebayor anaenda Singida black stars wameshamalizana kitambo tu.Yuko njiani kuja nchini Tanzania kumalizana na Tajiri. Tayari ameshafuatwa na Mafia Mkubwa. Sasa mtatutambua Ok?
Ubaya Ubwela....Kudadadeki.
Duuuh,,,rafiki yangu bado mnamtaka victorian? Pale akuna mchezaji kwa sasa limebaki jinq tu Tena amekuwa mhuni siku izi anakula nauli za watu tu anaingia mitini, ulizia mara ya mwisho kacheza timu Gani na ni lini,,Yuko njiani kuja nchini Tanzania kumalizana na Tajiri. Tayari ameshafuatwa na Mafia Mkubwa. Sasa mtatutambua Ok?
Ubaya Ubwela....Kudadadeki.
Weka na sub zao tuoneMpanzu nafasi yake karudishwa Onana.
1) Ayoub kariplesiwa na kipa wa Horoya (Moussa Camara)
2) Karaboue
3)Che Melone
4) Valentine
5) Ngoma
6) Debora
7)Okejepha
8) Freddy
9)Mutale
10) Mukwala
11) Ahoua
12) Onana
Sub za kitu gani? Umeingilia mada katikati. Huyo niliye m-quote kanibishia nilipomwambia wachezaji wa kigeni wa Simba wameshafikia idadi ya wachezaji 12. Yeye kakataa kasema bado nafasi moja kwavile Mpanzu dili limekufa. Ndipo nikamuorodhoshea wachezaji 12 wa kigeni waliopo Simba hadi sasa. Hivyo hakuna nafasi ya usajili tena kwa mchezaji wa kigeniWeka na sub zao tuone
Kwa hivyo vidingi vyenu?TUSIPOWAKUNG'UTA 5 TAREHE 8 mods naomba mfute hii Account
View attachment 3058982
Hao wazazi wanajua mpira mpaka wanakera...Kwa hivyo vidingi vyenu?
Kipa huyo Mousa CamaraBila shaka atakuwa ni yeye anayetua leo
Valentine Mashaka kumbe ni Msukuma kutoka ughaibuni au mimi ndiye ninajichanganya.Mpanzu nafasi yake karudishwa Onana.
1) Ayoub kariplesiwa na kipa wa Horoya (Moussa Camara)
2) Karaboue
3)Che Melone
4) Valentine
5) Ngoma
6) Debora
7)Okejepha
8) Freddy
9)Mutale
10) Mukwala
11) Ahoua
12) Onana