Asanteni Tuzo za TFF, Wadau wa soka hatuna Deni, tuzo pekee iliyoachwa ni ya sold out, muwafikirie mwakani wahusika wapate pa kujifutia machozi

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
kilichotokea ni ubaya ubwela practical achana na zile theory za maandishi na kelele za vispika.

Kulikuwa na mkakati maalum wa kuitrendisha sold out ili kufidia maumivu ya tuzo za leo, faraja ya sold out kwa siku ya jana ilikuwa ni sawa na kuku wanaofurahia magunia ya mchele kumbe wananenepeshwa kwajili ya sikukuu.
 
Waambie wakupe bakuli lako la supu upunguze gubu.
 
Sisi tuna TUZO ya CAF na FIFA ya mashabiki bora barani Africa hatuna haja na TUZO za TFF,, supu vipi Kesho kijana utaratibu upoje??
 
Kanunue tiketi, batiki uwe wa umuhimu kwa club yako.
 
kilichotokea ni ubaya ubwela practical achana na zile theory za maandishi na kelele za vispika.

Kulikuwa na mkakati maalum wa kuitrendisha sold out ili kufidia maumivu ya tuzo za leo, faraja ya sold out kwa siku ya jana ilikuwa ni sawa na kuku wanaofurahia magunia ya mchele kumbe wananenepeshwa kwajili ya sikukuu.
Mwanamme mzima na mkeo mnanunuliwa supu ipo siku mtachomekwa mipini Kwa wakati mmoja
 
Back
Top Bottom