Asanteni ' Wachagga ' kwani kuanzia leo hadi Wiki Siku Saba zijazo najua Bajeti yangu ya Chakula na Vinywaji mmeikoa sana na mno

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuanzia leo nami nakuwa ' Mchagga ' kwa muda ili tu nisiwe mbali na ' Tukio ' zima lililotokea kwani kwa ninavyowajua ' Wachagga ' walivyo kuanzia leo hii ni mwendo wa Nyama, Bia na Mavyakula ya kila aina hadi Siku ya mwisho huko Kijijini Kilimanjaro.

Poleni sana Mashemeji zangu wakubwa Wachagga. Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe. Tupo pamoja sana katika huu Msiba mzito na Binafsi natoa pole zangu za dhati kwa Familia nzima, Ndugu, Jamaa na Marafiki.

Marehemu amemaliza mwendo wake na kikuwbwa tumuombee kwa Mwenyezi Mungu, tumsamehe pale alipotukosea lakini Kubwa nasi tuliobaki hapa duniani tuyaige na kuyaendeleza yale mema yake yote ili tumuenzi.

Nawasilisha.
 
nayo ni fursa changamkia fursa
 
Ameeen! na Kanisani pia uendage
 
Jana nilipita hapo kwake machame,nyumba imetulia kimya kama vile ilikuwa na msiba tayari!
 
Huko mtanikosa kwani kwa Lundo la Dhambi nilizonazo nahisi Kanisa linaweza likabomoka Mkuu halafu yakawa mengine.
Hao sie au;nyie wenye Lundo la Dhambi ndio haswa mnatakiwa nyumbani kwa Baba kwa kadri ya Imani yako! Hata pazia la hekalu lilichanika mkuu sembuse haya majengo yetu ya saruji? Come one Come All! Inshaalah
 
Unauliza Mgawo wa Umeme TANESCO?
Mengi ni mchagga wa marangu ambaye baba yake alihamia machame sababu ya Ardhi ndogo aliyokuwa nayo baba yao Abraham babu wa Reginald huko marangu.
 
Wachagga wote walianzia Marangu wakatawanyika....

Infact kuna two sources,ni Marangu na Kibosho halafu wakatawanyika all over!

Marangu ardhi ipo too much packed hata Kibosho.
 
Kwa hiyo kati ya kabila lako la Kitusi na Wachagga ni kabila lipi lipo juu katika mambo ya kutafuta na social?
 
Unachokisema kuna jamaa yang katumia fursa tangu alhamisi mpaka Leo bajet yake anaokoa tu

Hawazi hela ya kula tena

Location Dar.
 
Back
Top Bottom