GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuanzia leo nami nakuwa ' Mchagga ' kwa muda ili tu nisiwe mbali na ' Tukio ' zima lililotokea kwani kwa ninavyowajua ' Wachagga ' walivyo kuanzia leo hii ni mwendo wa Nyama, Bia na Mavyakula ya kila aina hadi Siku ya mwisho huko Kijijini Kilimanjaro.
Poleni sana Mashemeji zangu wakubwa Wachagga. Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe. Tupo pamoja sana katika huu Msiba mzito na Binafsi natoa pole zangu za dhati kwa Familia nzima, Ndugu, Jamaa na Marafiki.
Marehemu amemaliza mwendo wake na kikuwbwa tumuombee kwa Mwenyezi Mungu, tumsamehe pale alipotukosea lakini Kubwa nasi tuliobaki hapa duniani tuyaige na kuyaendeleza yale mema yake yote ili tumuenzi.
Nawasilisha.