Asanteni wadau kwa kutupa kazi ya kuchimba visima vya kisasa

Villanova tito

Senior Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
148
Reaction score
154
Juzi site engineering wa wells technology alipokea simu ya mdau baada ya kuona kazi zetu humu JF ilikuwa ni ya kijana mjasiriamali wa kilimo cha kisasa huko Mlandizi Pwani alikuwa anahitaji kisima cha kisasa cha umwagiliaji wa uhakika

Basi tukamshauri tufanye survey kujua geological information ya shamba lake tujue maji yako mita ngapi basi survey ikabaini maji ni mita 180 unapata maji kama mto basi tukaandaa boq nzima ya project mteja akaona ni bei nafuu

Basi mteja akafanya advance payment tukafika shambani tumechimba kisima kina maji kibao na fresh water mteja akafurahi sana
MAWASILIANO 0769509666
USHAUR NI BURE

 
Mita 180?
au umekosea ni mita 80?.

Gharama zikoje?. ungeandika hapa in summary ili wadau wanaohitaj kuchimba visima mashamban wajue wanaanzia kujipangaje.
 
Mita 180?
au umekosea ni mita 80?.

Gharama zikoje?. ungeandika hapa in summary ili wadau wanaohitaj kuchimba visima mashamban wajue wanaanzia kujipangaje.
Kibaha water table ni 150 kuendelea boss kibaha nikechimba sana
 
Gharama zikoje kwa kila mita (drilling na casing)
 
Ungefafanua kidogo garama zikoje kuanzia , survey mpaka kuchimbiwa na kufungiwa pump ,ingetoa mwanga ,kwa watu wenye malengo huko mbeleni ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…