Asanteni waja-jf

Asanteni waja-jf

emkey

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
728
Reaction score
137
Nashkuru wana-jf wote mlionipa mawazo yenu na ushauri wenu mzuri kutokana na tatizo lilokuwa likimsumbua mke wangu, wife alikuwa na jini mahaba ambalo lilimfanya asihisi raha ya tendo la ndoa. lakn kwa sasa anahisi vizuri tu na amekuwa na furaha ya ajabu. furaha ya ndoa hvi sasa inadhihirika waziwazi. matola nashkuru kwa ushauri wako, umenisaidia, na wote ambao mlinishauri bila ya kuwasahau wale walionikejeli na kunitukana, mbarikiwe.

thanks alot my bros and sisters.
 
dah, hata waliokutukana wabarikiwe? hapa kweli kuna upako...
 
Hakuna tatizo kuwaombea walio kutukana wabarikiwe, na hio inaonyesha wazi vipi huyu mtu anabusara.
 
hongera sana....ila ungetueleza ni ushauri upi ulioufuata ili na sie wengine utusaidie.....
 
Ashukuriwe MUNGU juu mbinguni kupitia watoto wake.
 
Hii ndo JF bana. It is more than a social network
 
watu kama nyie huwa mnahitajika sana kwenye society kwa kuwa mnajua wajibu wenu tunashukuru sana..
 
Nashkuru wana-jf wote mlionipa mawazo yenu na ushauri wenu mzuri kutokana na tatizo lilokuwa likimsumbua mke wangu, wife alikuwa na jini mahaba ambalo lilimfanya asihisi raha ya tendo la ndoa. lakn kwa sasa anahisi vizuri tu na amekuwa na furaha ya ajabu. furaha ya ndoa hvi sasa inadhihirika waziwazi. matola nashkuru kwa ushauri wako, umenisaidia, na wote ambao mlinishauri bila ya kuwasahau wale walionikejeli na kunitukana, mbarikiwe.

thanks alot my bros and sisters.

Siamini hii kitu ipo in real life, itakuwa tu mama libido yake ilikuwa on rest.
 
Mkuu tunashukuru kwa kurejesha furaha ya familia yako....
 
Nashkuru wana-jf wote mlionipa mawazo yenu na ushauri wenu mzuri kutokana na tatizo lilokuwa likimsumbua mke wangu, wife alikuwa na jini mahaba ambalo lilimfanya asihisi raha ya tendo la ndoa. lakn kwa sasa anahisi vizuri tu na amekuwa na furaha ya ajabu. furaha ya ndoa hvi sasa inadhihirika waziwazi. matola nashkuru kwa ushauri wako, umenisaidia, na wote ambao mlinishauri bila ya kuwasahau wale walionikejeli na kunitukana, mbarikiwe.

thanks alot my bros and sisters.
what????
(ku red hapo)
 
Okay...bahati mbaya sikuiona hiyo thread na ningependa kuiona...tuwekee link taf.
 
Back
Top Bottom