Hakuna tatizo kuwaombea walio kutukana wabarikiwe, na hio inaonyesha wazi vipi huyu mtu anabusara.dah, hata waliokutukana wabarikiwe? hapa kweli kuna upako...
Nashkuru wana-jf wote mlionipa mawazo yenu na ushauri wenu mzuri kutokana na tatizo lilokuwa likimsumbua mke wangu, wife alikuwa na jini mahaba ambalo lilimfanya asihisi raha ya tendo la ndoa. lakn kwa sasa anahisi vizuri tu na amekuwa na furaha ya ajabu. furaha ya ndoa hvi sasa inadhihirika waziwazi. matola nashkuru kwa ushauri wako, umenisaidia, na wote ambao mlinishauri bila ya kuwasahau wale walionikejeli na kunitukana, mbarikiwe.
thanks alot my bros and sisters.
Hukuwepo kwenye thread yenyewe so huwezi elewa kwa sasa.....Siamini hii kitu ipo in real life, itakuwa tu mama libido yake ilikuwa on rest.
what????Nashkuru wana-jf wote mlionipa mawazo yenu na ushauri wenu mzuri kutokana na tatizo lilokuwa likimsumbua mke wangu, wife alikuwa na jini mahaba ambalo lilimfanya asihisi raha ya tendo la ndoa. lakn kwa sasa anahisi vizuri tu na amekuwa na furaha ya ajabu. furaha ya ndoa hvi sasa inadhihirika waziwazi. matola nashkuru kwa ushauri wako, umenisaidia, na wote ambao mlinishauri bila ya kuwasahau wale walionikejeli na kunitukana, mbarikiwe.
thanks alot my bros and sisters.
Weka link Erick ili ambao hatukuwepo tuelewe!Hukuwepo kwenye thread yenyewe so huwezi elewa kwa sasa.....
Umeshangaa nini?what????
(ku red hapo)